FT | Yanga SC 2-0 Singida Fountain Gate | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 27.10.2023

FT | Yanga SC 2-0 Singida Fountain Gate | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 27.10.2023

Kwa mpira huu wa Singida Sasa naammini kweli Hawa watu wanaachiana mechi kipuuz Sana.
Singida inayokutana na namungo ,Azam ,Simba na timu zingine sio hii inayokutana na Yanga .
Mpira wa bongo mgumu Sana ,Yale Yale ya Simba na Coast Union ingawa kwasasa huo upuuz coastal waliukataa miaka ya karibu.
Mwigulu unaharibu ligi braza ,najua unaipenda Sana yanga Ila iache yanga ipate ubingwa clear maana uwezo huo wanao Sana tu.
Maelekezo ni ujinga pia tunaua lig yetu kwa mapenz ya kitoto.
Leo hii kila mtu anajua Waz matokeo ya Singida na Yanga yatakuaje.
Sema nimembetia yanga na nilijua atashinda tu hata iweje .kwangu faida Ila kwa mpira wa bongo huu ni upuuz
Wivu tu..😂
 
Hapa tunaona mabek waksindikiza max kwenda sokoni daaah rushwaaaa mbayaaaa sana hata muvi za bongo zina viwango sio kwa maigizo ayaaaaaaaa
Tatizo unaangalia mpira huku kichwani una imani yako. Kila kitu utalalamika ni maelekezo wakati mpira ni mchezo wa makosa. Hao hao Singida walimuacha Kibonge akafunge ila walipoona ana spidi ya konokono akaona ngoja wakauchukue mpira wao maana anatia aibu. Hao Singida kwa uzuri walilokuwa nao wameshinda mechi ngapi msimu huu? Juzi Azam na ubora wake kafungwa hat trick na Aziz Ki sembuse Singida?
 
Kuna namna nyingi za kutengeneza pesa, hii pia ni mojawapo. Wenye akili zao wameshaelewa.

Hapa ni kimya kimya tu!
 
Likipaaa la singidaaaa lishakulaaa elaaa sasa linaenda bar saivi anaingia mwingine naye awekwe mbili akale ela yake dadekiiii.....

Kodi zetu zinaendaesha timu ya yangaaa kwa kununua magoli ya mchongooooooo
Kodi yako anakula baba mwenye nyumba yako, tuondolee kelele hapa.
 
Kwa mpira huu wa Singida Sasa naammini kweli Hawa watu wanaachiana mechi kipuuz Sana.
Singida inayokutana na namungo ,Azam ,Simba na timu zingine sio hii inayokutana na Yanga .
Mpira wa bongo mgumu Sana ,Yale Yale ya Simba na Coast Union ingawa kwasasa huo upuuz coastal waliukataa miaka ya karibu.
Mwigulu unaharibu ligi braza ,najua unaipenda Sana yanga Ila iache yanga ipate ubingwa clear maana uwezo huo wanao Sana tu.
Maelekezo ni ujinga pia tunaua lig yetu kwa mapenz ya kitoto.
Leo hii kila mtu anajua Waz matokeo ya Singida na Yanga yatakuaje.
Sema nimembetia yanga na nilijua atashinda tu hata iweje .kwangu faida Ila kwa mpira wa bongo huu ni upuuz
Ujinga mwingine bana... Yanga akifungwa mnainua madomo yenu.. yanga akishinda mnakuja na umavii huu!, Mbona hukusema kuwa matokeo Kati ya coast na Simba yalipangwa?. Unataka yanga afungwe ndio uje na ajenda gani?
 
Back
Top Bottom