FT | Yanga SC 2-0 Singida Fountain Gate | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 27.10.2023

FT | Yanga SC 2-0 Singida Fountain Gate | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 27.10.2023

Ujinga mwingine bana... Yanga akifungwa mnainua madomo yenu.. yanga akishinda mnakuja na umavii huu!, Mbona hukusema kuwa matokeo Kati ya coast na Simba yalipangwa?. Unataka yanga afungwe ndio uje na ajenda gani?
Watateseka sana msimu huu,wanafikiri sisi wajinga hatujui michezo yao kwa marefa wakina Tatu Mwalogo
 
Back
Top Bottom