mzee wa bwaksi
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 2,255
- 3,972
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndio mnavyotaka.. Wacha iwe hivyoSi unaona hata wewe umekubali kuwa yanga inacheza na katawi kake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndio mnavyotaka.. Wacha iwe hivyoSi unaona hata wewe umekubali kuwa yanga inacheza na katawi kake
Leta nyingine ipewe bahasha tuikande..Timu yangu ya Ihefu mlishacheza nayo.
Tunatakaa kod zetu swainiiiiiiiiKodi yako anakula baba mwenye nyumba yako, tuondolee kelele hapa.
Pira gimbi utaliona keshoPira makande lipo live, yaani halivutii kabisa.
🤣🤣🤣🤣Si unaona hata wewe umekubali kuwa yanga inacheza na katawi kake
Watateseka sana msimu huu,wanafikiri sisi wajinga hatujui michezo yao kwa marefa wakina Tatu MwalogoUjinga mwingine bana... Yanga akifungwa mnainua madomo yenu.. yanga akishinda mnakuja na umavii huu!, Mbona hukusema kuwa matokeo Kati ya coast na Simba yalipangwa?. Unataka yanga afungwe ndio uje na ajenda gani?
KabisaPira gimbi utaliona kesho
Naunga mkono hoja 👍👏Watateseka sana msimu huu,wanafikiri sisi wajinga hatujui michezo yao kwa marefa wakina Tatu Mwalogo
Kama mkeo hakuvutii nenda kwa Riberthno akuvutie😅😅Pira makande lipo live, yaani halivutii kabisa.
Hamkosi la kusema watani. Kumekucha kumekucha Proved
Vipi kesho Tatu malogo atachezesha😅Naziona goli 5 leo hii. Hawa Yanga wa mkoani lazima wapigwe khamsa [emoji23][emoji23]
Wewe subiri kwanza tuwakate hiyo midomo maana ndio zenu, kelele kibao!Yanga inayozungumzwa humu JF na hii ninayoina kwenye TV ni tofauti kabisa. Ya humu inatajwa kama timu yenye soka zuri, lakini ninachoona hapa ni kukimbia kimbia tu.
Ova
Bado hamjsemaHapa tunaona mabek waksindikiza max kwenda sokoni daaah rushwaaaa mbayaaaa sana hata muvi za bongo zina viwango sio kwa maigizo ayaaaaaaaa
Ndio ubingwa wenu huo msimu uliopitaUkibahatika kukutana na Diarra muulize lile Shuti la Kibu D alitoa nini?
Na bado Nov 5 atawakanda tena hadi mseme...
Asante kwa taarifa mkuu.Hatakuwa yupo mkuu adhabu itakuwa ishaisha