FT | Yanga SC 2-0 Singida Fountain Gate | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 27.10.2023

FT | Yanga SC 2-0 Singida Fountain Gate | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 27.10.2023

Deus kaseke acha mamb yako unafanya makusudi kabisa kumnyima pasi kagere ili asilifunge timu lako la zamani na unajua kabisa kagera hachekagii na churaaaaaaa
Shwainiiiiii kasekeeewwwwwwww
 
Deus kaseke acha mamb yako unafanya makusudi kabisa kumnyima pasi kagere ili asilifunge timu lako la zamani na unajua kabisa kagera hachekagii na churaaaaaaa
Shwainiiiiii kasekeeewwwwwwww
Huyo Kagere ana goli ngapi msimu huu na kacheza match ngapi mpaka uone ana uwezo wa kumfunga Yanga leo hii?
 
Yule kocha aliyetoka South Africa alikuwa sahihi kabisa kukacha kibarua cha kukinoa kikosi cha ajabu.

Timu ina professional players kibao lkn ajabu timu inashindwa hata kufanya shambuliZi ...
 
Refa maliza game, maana kuna watombesha maneno wamevamia jukwaa nakuanza kutukana.

Timu yako haichezi, hiyo nyege unaitolea wapi ya kuvamia jukwaa nakuanza kutukana wazazi wa wenzio?

Ukijiona huna uowezo wa kuzuia hasira zako acha kufatilia game za Yanga, utakula ban zisizo na mpango.
 
Back
Top Bottom