FT | Yanga SC 2-0 Singida Fountain Gate | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 27.10.2023

Mechi Kali sana hii....yenye ushindani halisi hapa Tanzania

Mimi kama mchambuzi nimeshindwa kutabiri mshindi ni nani coz itakuwa ni mechi ngumu sana na ya visasi

Lkn tuwaombee wananchi
Acha uongo bwana mdogo

Yanga A vs Yanga B
 
Kuna mbumbumbu wanaumia eti!! 😁

All in all, nawatakia Wananchi πŸ’šπŸ’› ushindi mnono.
 
Kila la kheri Young African Sports club, timu ya Wananchi.πŸ’šπŸ’šπŸ’›πŸ’›
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…