Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hii ni kawaida sana hasa unapoenda kukata tiketi huku muda wa mechi ukiwa umekaribia. Tena hizi timu zetu pendwa zinapoenda kucheza huko mikoani Hali huwa ni mbaya zaidi, tiketi zote zinalanguliwa Kisha kuuzwa mara mbili ya bei iliyopangwaNashauri pia kina Ally Kamwe kudhibiti madalali wa Kadi waliopo hapa Nje ya Uwanja,
Wanakata kadi za 5000, wanawauzia mashabiki 8000.
Hii sio sawa
Hata usipoangalia hakuna kitacho haribika wala kupungua.HATA NILIPWE KIASI GANI HIYO GAME SIANGALII....
MATUMIZI Mabaya ya Muda.
Ningetamani kuona combination ya Mudathir na Mkude, maana kwenye siku ya mwananchi na kaizer walikiwasha.Kikosi kitachoanza Leo[emoji116]View attachment 2794796
Mauya akianza, game inakua ngumu kwa upande wetu Yanga.Kikosi kitachoanza Leo[emoji116]View attachment 2794796
Ahsante kwa taarifa, naimani wahusika watalifanyia kazi hili.Nashauri pia kina Ally Kamwe kudhibiti madalali wa Kadi waliopo hapa Nje ya Uwanja,
Wanakata kadi za 5000, wanawauzia mashabiki 8000.
Hii sio sawa
Aucho anatatizo gani leo, simuoni hata benchi.
Prison anangoza ngapi, mkuu?KMC na Prison wanaumana Uhuru.
Prison anaongoza
Ana kadi mbili za njanoAucho anatatizo gani leo, simuoni hata benchi.
Anapiga pasi za nyuma sana na mara nyingi pasi zake za kwenda mbele hazifiki kwa walengwa [emoji1], ila kwenye kukaba anajitahidi [emoji106]Mauya akianza, game inakua ngumu kwa upande wetu Yanga.
Huyo Mauya me simuamini kabisa.
[emoji3] kwaiyo tusipoteze muda kutazama haya maigizoAbdallah vs Dullah
Mechi muhimu kwenu sio ngumu. Embu angalia mechi 10 za mwisho mlipokutana.Nikiwa mwishoni mwa Dunia, naitakia Yanga ushindi wa goli 2 bila.
Lakini niseme ukweli tu, hii ni game ngumu sana kwa upande wetu, na ikitokea tukashinda leo basi tupewe tu kombe letu.
Hii nafasi leo tungemuona Mkude, Mauya simuelewagi kabisaAnapiga pasi za nyuma sana na mara nyingi pasi zake za kwenda mbele hazifiki kwa walengwa [emoji1], ila kwenye kukaba anajitahidi [emoji106]
Mauya yupo vizuri wasi wasi wako tuHii nafasi leo tungemuona Mkude, Mauya simuelewagi kabisa