FT | Yanga SC 2-0 Singida Fountain Gate | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 27.10.2023

FT | Yanga SC 2-0 Singida Fountain Gate | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 27.10.2023

20231027_172833.jpg
 
Nashauri pia kina Ally Kamwe kudhibiti madalali wa Kadi waliopo hapa Nje ya Uwanja,
Wanakata kadi za 5000, wanawauzia mashabiki 8000.
Hii sio sawa
Mkuu hii ni kawaida sana hasa unapoenda kukata tiketi huku muda wa mechi ukiwa umekaribia. Tena hizi timu zetu pendwa zinapoenda kucheza huko mikoani Hali huwa ni mbaya zaidi, tiketi zote zinalanguliwa Kisha kuuzwa mara mbili ya bei iliyopangwa
 
Nashauri pia kina Ally Kamwe kudhibiti madalali wa Kadi waliopo hapa Nje ya Uwanja,
Wanakata kadi za 5000, wanawauzia mashabiki 8000.
Hii sio sawa
Ahsante kwa taarifa, naimani wahusika watalifanyia kazi hili.
 
Namwona Rais wa TFF Wallace Karia akisalimiana na mashabiki wa Yanga hapa.

Anasema kwa nini hadi sasa mabango ya African League yapo Uwanjani
 
Nikiwa mwishoni mwa Dunia, naitakia Yanga ushindi wa goli 2 bila.
Lakini niseme ukweli tu, hii ni game ngumu sana kwa upande wetu, na ikitokea tukashinda leo basi tupewe tu kombe letu.
Mechi muhimu kwenu sio ngumu. Embu angalia mechi 10 za mwisho mlipokutana.
 
Back
Top Bottom