FT | Yanga SC 2-0 Singida Fountain Gate | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 27.10.2023

FT | Yanga SC 2-0 Singida Fountain Gate | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 27.10.2023

Mauya akianza, game inakua ngumu kwa upande wetu Yanga.
Huyo Mauya me simuamini kabisa.
Ni kweli mkuu. Ila rotation ni muhimu kwaio hapo inabidi tuombe benchi la ufundi kusajili back ya maana ya Aucho
 
Yanga wanacheza na Yanga.

Sasa si ujinga huu.
 
Mechi muhimu kwenu sio ngumu. Embu angalia mechi 10 za mwisho mlipokutana.
Huwezi jua mkuu, huu ni mpira sio drafti.
Alafu msimu huu hao jamaa wamekuja kivingine.
 
Singida wameweza mpaka sasa kukontol ball japo wanashambuliwa
 
Back
Top Bottom