FT | Yanga SC 2-0 Singida Fountain Gate | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 27.10.2023

FT | Yanga SC 2-0 Singida Fountain Gate | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 27.10.2023

Hafiz doing KONIKONI things [emoji23][emoji23]
 
Ndio maana watu wanasema Singida ni tawi la Yanga
 
Yanga inayozungumzwa humu JF na hii ninayoina kwenye TV ni tofauti kabisa. Ya humu inatajwa kama timu yenye soka zuri, lakini ninachoona hapa ni kukimbia kimbia tu.

Ova
 
Back
Top Bottom