Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 10,677
- 11,768
Kwasasa anajuta, hata hao wenzake aliowakuta hapo Azam wanamshangaa, anatoka kwenye timu yenye uhakika wa kuingia fainali clab bingwa, anaingia kwenye timu isiyo na uhakika hata wa kufika nafasi ya pili kwenye ligi kuu NBC.