Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 10,677
- 11,768
Hawa marefa ni wakutembezewa mbata tu, maana adhabu ya kuwafungia game 5 haiwatoshi.Refa msaidizi wa kulia anazomewa.
Anasema offside
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa marefa ni wakutembezewa mbata tu, maana adhabu ya kuwafungia game 5 haiwatoshi.Refa msaidizi wa kulia anazomewa.
Anasema offside
Konkon ana kitu, Mzize atusameheHawa marefa ni wakutembezewa mbata tu, maana adhabu ya kuwafungia game 5 haiwatoshi.
[emoji23][emoji23][emoji23]Konkon ana kitu, Mzize atusamehe
Hana issue huyo.Mauya anazinguaaaa
Goli walizoa create SingidaPaka Sasa golikipa wa Singida kashaokoa goli mbili za wazi
Ile moja ilikuwa nzuri na goli la wazi kabisa.Goli walizoa create Singida
Bado hujasema[emoji23][emoji23][emoji23]Beki kalaaa elaaaa hakuna goli mabek hawakabi kabisaa daah......