FT | Yanga SC 2-0 Singida Fountain Gate | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 27.10.2023

FT | Yanga SC 2-0 Singida Fountain Gate | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 27.10.2023

Updates...

Tunaelekea Uwanjani sasa.

Hali ya hewa ni shwari kabisa.

Njiani naona watu sio wengi sana kama ilivyokuwa mechi iliyopita dhidi ya Azam.

Pengine bado ni mapema au pengine Mvua iliyonyesha mchana imewatishia watu.

Mtakaoingia hapa Tusalimiane,
 
Kikosi kitachoanza Leo[emoji116]
20231027_172503.jpg
 
Nashauri pia kina Ally Kamwe kudhibiti madalali wa Kadi waliopo hapa Nje ya Uwanja,
Wanakata kadi za 5000, wanawauzia mashabiki 8000.
Hii sio sawa
 
Back
Top Bottom