FT | Yanga SC 2-0 Singida Fountain Gate | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 27.10.2023

FT | Yanga SC 2-0 Singida Fountain Gate | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 27.10.2023

Mechi Kali sana hii....yenye ushindani halisi hapa Tanzania

Mimi kama mchambuzi nimeshindwa kutabiri mshindi ni nani coz itakuwa ni mechi ngumu sana na ya visasi

Lkn tuwaombee wananchi
Uchambuzi wako ni wa kutoka sayari nyingine!! Ulizichambua Al Ahly na Simba ukaona matokeo ni Al Ahly 6 - 0 Simba!! Na hakika uchambuzi wako ndivyo ulivyotokea!! hongera sana!! Mchambuzi gani ufanikiwe kuchambua kwa "usahihi" mechi kali ya CAF halafu ushindwe kuchambua pumba dhidi ya pumba?
 
Nikiwa mwishoni mwa Dunia, naitakia Yanga ushindi wa goli 2 bila.
Lakini niseme ukweli tu, hii ni game ngumu sana kwa upande wetu, na ikitokea tukashinda leo basi tupewe tu kombe letu.

Mwanangu sio kuwa nakupangia ila umekosa hela hivi hivi kwa utabiri wako mzuri na imekuwa hivyo, next time bashiri please [emoji120]
 
Back
Top Bottom