ENdelea kulamba limao mkuu.Simba bado sana,Berkane wapewe kombe lao.Simba hataweza kuhimili vishindo vya wale jamaa.Kama hawa Stella tu wamewahenyesha hivi!
Berkane wanapiga mpira wa hatari,na mbaya zaidi Simba anaanzia nyumbani.
Mkuu kila la kheriIwe muujiza iwe kimkakati wanakuletea kombe safari hii
Mkuu hizi ni nyakati za kuchanganyikiwa. Lowasa alisema huwezi zuia mafuriko kwa mikono, sasa kuchanganyikiwa ni mafuriko yenye mawe na magogo, acha tu maji yapite kutapoa.Aisee nyie kina OKW BOBAN SUNZU Tsh Kalpana Scars Tui Kiweriweri Otorong'ong'o Mtoto halali na hela msaidieni huyu jamaa maana atazimia muda mchache ujao...🤣🤣🤣
Uzuri mnyama game ngumu ndo anazopendaNajaribu kuongea bila kuweka ushabiki. Mkicheza na Constantine ubingwa mnachukua ila hawa Berkane ni bahati pekee itawabeba. Timu yenu ina makosa mengi sana kule nyuma.
Marumo Gallant alikuwa bingwa ama. Acheni ufala basi nyie Utopolo. Mnataka kila siku turudie maneno ya Manara ya ninyi kukosa akili?Yanga hakucheza UMITASHUMITA yenu
CAFCC alocheza Yanga zilikuwemo timu bingwa
Ila hii netball yenu hakuna bingwa hata wa sao Tome
Tuliwaonyesha njia, lazima wakubali sisi ndiyo waongoza njia wa vitu vizuri na vikubwa. Nao wanapita mulemule, sasa medali za bati zitapumzika 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hatimae na nyie mmevaa medali..maana mlikuwa mnatuletea picha za mabati zisizoeleweka hongereni Cc Bantu Lady Shadeeya
Boss, Masuala ya ingekuwa hivi au ikawa vile hayana maana sababu haya matokeo ni muunganiko wa matokeo mengi tangu kuanza kwa mashindano, meaning kama tunaipa nafasi inge basi tuanzie hatua za makundi kuijadili inge, pengine tusingecheza nao kama inge..........shida hizi comments mnazisoma mkihisi tunaandika kwa chuki. Huu ndio uhalisia Stellen hawakua makini kutumia nadasi zao vizuri. Ukikutana na timu more advanced inakuadhibu kwa zile nafasi mlizokua mnaachia.
Kama ambavyo nyie mmeshawahi fungwa na Township Rollers.Mbona mlipigwa na jwaneng?
Hii ni football
Tajiri upo😁
Hiyo Nitakuja Nayo Ngoja kwanza Wapange Viwanja vya Kuchezea Nijue Watacheza wapi na Wapi Unaweza Kushangaa Berkane akachapwa 5 Bila na costantineNaomba Tuwekee tena yale mahesabu yako yale ya manyota nyota kati ya RS Bekane v kolowizadi
Nipo napata upepo wa bahari huku mixer mpepe na Serengeti biaTajiri upo😁
Unakula bia kwa raha ipi mkuu ?😄Nipo napata upepo wa bahari huku mixer mpepe na Serengeti bia
Mkuu hapa dakika ya 37 ni 0-0Hiyo Nitakuja Nayo Ngoja kwanza Wapange Viwanja vya Kuchezea Nijue Watacheza wapi na Wapi Unaweza Kushangaa Berkane akachapwa 5 Bila na costantine
Naangalia Pia MpiraMkuu hapa dakika ya 37 ni 0-0
Najindaa kwenda Ethiopia keshokutwa kumchukua mtoto mzuriUnakula bia kwa raha ipi mkuu ?😄
Csc wanapambana sana ila hapa hawapati kituNaangalia Pia Mpira