FULL TIME || TotalEnergiesCAFCC || Stellenbosch 0-0 Simba SC || Aggreggate 0-1 || 27.04.2025 || 16:00 EAT || Moses Mabhida Stadium

Dah [emoji23]
 
Sasa hivi hatutaki Mambo ya sifa ya kununulia tiketi watu, watuache tujilipie wenyewe tulianza pamoja tunamaliza pamoja
 
Tuliwaonyesha njia, lazima wakubali sisi ndiyo waongoza njia wa vitu vizuri na vikubwa. Nao wanapita mulemule, sasa medali za bati zitapumzika 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Utakuwa wa 2000 mtaniπŸ€£πŸ˜„πŸ˜„

1993 tuliwaonyesha njia ya Final kombe la washindi

Tuliwaonyesha njia ya kufika robo fainali CAFCL

Tuliwaonyesha njia ya kufunga mtani goli 5, tena mara mbili.

Tuliwaonyesha mfano wa kumfunga mtani goli 6.
 
Nilicho gundua mshkaji ana gundu kaondoka yeye TU mzimu wa robo Chali kawapelekea kule mzimu wa kundi na Bado wata mtimua kule kumbe hii robo kuishia ilikua yeye manina
 
Nilicho gundua mshkaji ana gundu kaondoka yeye TU mzimu wa robo Chali kawapelekea kule mzimu wa kundi na Bado wata mtimua kule kumbe hii robo kuishia ilikua yeye manina
Chama ana tamaa na kiburi ..ukiacha nguvu kwenye mpira.. intelligence pia ni muhim sana..kujua na ku calculate mahesabu kwa haraka sana
 
Moderator mkiona inafaa edit kichwa cha habari hapo Juu.

Badala ya kuandika FULL TIME || TotalEnergiesCAFCC || Stellenbosch 0-0 Simba SC || Aggreggate 0-1 || 27.04.2025 || 16:00 EAT || Moses Mabhida Stadium

Mngemalizia Kwa kuandika Simba SC yafuzu kwenda Fainali ili wenzetu wa upande wa pili waisome Kwa herufi kubwa wakiwa kule kule Zanzibar πŸ€—πŸ‘Š
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…