Furaha Dominic: Askofu Gwajima ndiye kiongozi wa kundi linalomkwamisha Rais Samia

Rais wenu Samia anajikwamisha mwenyewe, achen kusingizia watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kimsingi, yaliyosemwa na mtoto aliyekuwa mgombea wa ubunge Jimbo la kawe kwa maana ya furaha Dominick nimeshangaa Sanaa Huyu kijana ameongea mambo ya ajabu Sanaa.

Nimejiulize alio waita kope aliwajuaje kuwa ni kope?

Hivi alimjuaje kope Alie enda kumchongea makamu wa Raisi kwa Raisi?

Hivi, huyo kijana alipataje fursa ya kuingia Ikulu na kuwaona makupe?

Je Kupe ni ninani?
 
Aisee hawa wanaojiita wachungaji na makanisa yao ya ajabu ajabu ni waongo sana
 
Atamuwekea kigingi kwenye kura za maoni ndani ya chama ili jina lake lisirudi na endapo ataendelea kumuandama mama, ambaye kwa sasa ni mwenyekiti wa chama, anaweza kumvua uanachama, hivyo kupoteza sifa ya kuwa mbunge.
Si atakua amemaliza muda wake?
 
Yule dogo alishinda kwa kura nyingi Kawe wengi wakashtuka kura za kuwapitishwa akakatwa jina na kupitisha jina la Gwajima . Ilikuwa kumweka mazingira ya kujulikana ili cheo atakachopewa isionekane kabebwa ila ndo hivo boss alitangulia mbele ya haki
 
Unaandika kwa woga hivyo ikiwa na fake ID sipati picha ungekuwa na real ID ungeweka kimba kabisa!

Ukiona hujiamini kaa kimya siyo kutujazia nyuzi tu!
 
Ndugu yangu Sifi kesho kwani hujui au hijawahi sikia ya sirikališŸ¤”?
 
Sema yote mkuu hufi leo.
 
Jifunze namna ya kuandika kichwa cha habari kinachoeleweka.
 
Toa kitu kamili ueleweke,kama umeamua kuandika utujuze.
 
Kwa kweli kuandika yote aliyoyasema Dogo Fraha Dominick mkemia aliye kuwa anapima mpk nanasi analikuta na Corona na kumwambia mjomb wake aseme Nini.

Fraha amemshutumu Mchungaji wa kiroho kwa mambo mengi na kubwa zaidi amemuita MNAFIKI, mwongo na Kupe mkubwa kwani alitumia nafasi yake ya kuwa na Mjomba ake fraha kuwachongea wenzake.

Sasa leo dogo amesema gwajiboy kama unajiamini jitokeze nae atakujibu.
 
Yaani umeandika if na sisi Hiyo habari tunaijua,hebu tuliza monkare na ulete hapa Hiyo problema tujue!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…