Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Rais wenu Samia anajikwamisha mwenyewe, achen kusingizia watuKwenye interview ya Furaha, amemchanachana Askofu Gwajima kwa kusema kuwa ni MNAFIKI na MUONGO. Kazungumzia vipi alivyowatapeli wananchi wa Kawe kwa kudai kuwa ndani ya siku 100 atawajengea wana Kawe Barabara na kuwapeleka Birmingham.
Kwa kweli Gwajima amekuwa Muongo kwa siku nyingi sana, amedanganya kufufua watu. Amedanganya kuleta train za umeme n.k. n.k.
Ila kwa jinsi tunavyomjua Gwajima, huyu dogo ajiandae kwa majibu yake Jumapili.
NB. Kuna mambo ambayo Dogo amezungumzia kuhusu Kupe ambayo siyo rahisi kuyazungumza mbele ya wanafamilia. Pia sidhani kama Dogo alikuwa anaishi Magogoni.
Sent using Jamii Forums mobile app