Furaha Dominic: Askofu Gwajima ndiye kiongozi wa kundi linalomkwamisha Rais Samia

Furaha Dominic: Askofu Gwajima ndiye kiongozi wa kundi linalomkwamisha Rais Samia

Kwenye interview ya Furaha, amemchanachana Askofu Gwajima kwa kusema kuwa ni MNAFIKI na MUONGO. Kazungumzia vipi alivyowatapeli wananchi wa Kawe kwa kudai kuwa ndani ya siku 100 atawajengea wana Kawe Barabara na kuwapeleka Birmingham.

Kwa kweli Gwajima amekuwa Muongo kwa siku nyingi sana, amedanganya kufufua watu. Amedanganya kuleta train za umeme n.k. n.k.

Ila kwa jinsi tunavyomjua Gwajima, huyu dogo ajiandae kwa majibu yake Jumapili.

NB. Kuna mambo ambayo Dogo amezungumzia kuhusu Kupe ambayo siyo rahisi kuyazungumza mbele ya wanafamilia. Pia sidhani kama Dogo alikuwa anaishi Magogoni.
Rais wenu Samia anajikwamisha mwenyewe, achen kusingizia watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kimsingi, yaliyosemwa na mtoto aliyekuwa mgombea wa ubunge Jimbo la kawe kwa maana ya furaha Dominick nimeshangaa Sanaa Huyu kijana ameongea mambo ya ajabu Sanaa.

Nimejiulize alio waita kope aliwajuaje kuwa ni kope?

Hivi alimjuaje kope Alie enda kumchongea makamu wa Raisi kwa Raisi?

Hivi, huyo kijana alipataje fursa ya kuingia Ikulu na kuwaona makupe?

Je Kupe ni ninani?
 
kuna shemeji yangu alinishuhudia siku moja mambo ambayo alifanya Kanisani kwa Gwajima yanasikitisha na kuogopesha;
1. Kwa ujira wa TZS 80,000 by then aliunganishiwa na mtu mwingine kuwa anaenda kwa Gwajima anajifanya kutoa ushuhuda wa jambo fulani ambalo lilikuwa ji changamoto kwake, anashuhudia mbele ya madhabahu wakati ni uongo baadae akimaliza anapokea mpunga wake fresh anakwenda kula K vant zile za wakati ule.

2. J2 ingine ana appear different kabisa mfano anaweza pakwa foundations/Makeup zile wanawake nanapakaga anaonekana sura tofauti lkn same same anasguhudia uongo na waumini wanamwamini as the results wanaongeza trust kwa Gway Boy.....

Huyo ndo Gwaji Boy, mtumishi, na hayo ndio matendo yake........

Concl:
Kama ameweza kudanganya mbele ya madhabahu, je udanganya kwenye jukwaa la Siasa ni kitu gani?
Aisee hawa wanaojiita wachungaji na makanisa yao ya ajabu ajabu ni waongo sana
 
Atamuwekea kigingi kwenye kura za maoni ndani ya chama ili jina lake lisirudi na endapo ataendelea kumuandama mama, ambaye kwa sasa ni mwenyekiti wa chama, anaweza kumvua uanachama, hivyo kupoteza sifa ya kuwa mbunge.
Si atakua amemaliza muda wake?
 
Yule dogo alishinda kwa kura nyingi Kawe wengi wakashtuka kura za kuwapitishwa akakatwa jina na kupitisha jina la Gwajima . Ilikuwa kumweka mazingira ya kujulikana ili cheo atakachopewa isionekane kabebwa ila ndo hivo boss alitangulia mbele ya haki
 
Unaandika kwa woga hivyo ikiwa na fake ID sipati picha ungekuwa na real ID ungeweka kimba kabisa!

Ukiona hujiamini kaa kimya siyo kutujazia nyuzi tu!
 
Kimsingi, yaliyosemwa na mtoto aliyekuwa mgombea wa ubunge Jimbo la kawe kwa maana ya furaha Dominick nimeshangaa Sanaa Huyu kijana ameongea mambo ya ajabu Sanaa.

Nimejiulize alio waita kope aliwajuaje kuwa ni kope?

Hivi alimjuaje kope Alie enda kumchongea makamu wa Raisi kwa Raisi?

Hivi, huyo kijana alipataje fursa ya kuingia Ikulu na kuwaona makupe?

Je Kupe ni ninani?
Ndugu yangu Sifi kesho kwani hujui au hijawahi sikia ya sirikali🤔?
 
Kimsingi, yaliyosemwa na mtoto aliyekuwa mgombea wa ubunge Jimbo la kawe kwa maana ya furaha Dominick nimeshangaa Sanaa Huyu kijana ameongea mambo ya ajabu Sanaa.

Nimejiulize alio waita kope aliwajuaje kuwa ni kope?

Hivi alimjuaje kope Alie enda kumchongea makamu wa Raisi kwa Raisi?

Hivi, huyo kijana alipataje fursa ya kuingia Ikulu na kuwaona makupe?

Je Kupe ni ninani?
Sema yote mkuu hufi leo.
 
Jifunze namna ya kuandika kichwa cha habari kinachoeleweka.
 
Kimsingi, yaliyosemwa na mtoto aliyekuwa mgombea wa ubunge Jimbo la kawe kwa maana ya furaha Dominick nimeshangaa Sanaa Huyu kijana ameongea mambo ya ajabu Sanaa.

Nimejiulize alio waita kope aliwajuaje kuwa ni kope?

Hivi alimjuaje kope Alie enda kumchongea makamu wa Raisi kwa Raisi?

Hivi, huyo kijana alipataje fursa ya kuingia Ikulu na kuwaona makupe?

Je Kupe ni ninani?
Toa kitu kamili ueleweke,kama umeamua kuandika utujuze.
 
Kwa kweli kuandika yote aliyoyasema Dogo Fraha Dominick mkemia aliye kuwa anapima mpk nanasi analikuta na Corona na kumwambia mjomb wake aseme Nini.

Fraha amemshutumu Mchungaji wa kiroho kwa mambo mengi na kubwa zaidi amemuita MNAFIKI, mwongo na Kupe mkubwa kwani alitumia nafasi yake ya kuwa na Mjomba ake fraha kuwachongea wenzake.

Sasa leo dogo amesema gwajiboy kama unajiamini jitokeze nae atakujibu.
 
Yaani umeandika if na sisi Hiyo habari tunaijua,hebu tuliza monkare na ulete hapa Hiyo problema tujue!
 
Back
Top Bottom