Gabon: Jeshi limechukua madaraka baada ya Ali Bongo kutangazwa mshindi wa Urais

This is a new dawn for Africa.Tawala zote kandamizi ambazo zimeibia watu wao rasilimali wakae chonjo,I mean zote,without exception,ikiwemo Tanzania.

Haiwezekani baada ya miaka sitini na tatu ya Uhuru tukiwa na rasilimali nyingi kiasi hiki,bado watu wetu wengi hawana maji,na hata hao wachache wanaopata maji si safi na salama;watu wanakufa kwa sababu hawana huduma za afya;watoto wengine hawasomi kwa kuwa wazazi wao hawawezi kuwapeleka shule kwa kuwa hawana michango,madaftari na kalamu au uniform; Elimu inayotolewa ni chini ya kiwango,shule hazina mazingira mazuri ya kusomea na vitendea kazi;watu wetu hawana nyumba bora za kuishi ;watu wetu wanapata mlo mmoja tu kwa siku na wengine hawapati kabisa nk.nk..

No, lazima kama Watanzania tufike mahali tuseme hapana hii haivumiliki tena inatosha,na tufanye kitu ambacho kitatutoa kwenye uonevu huu.
 
Huku kwetu wanawapiga watanzania wenzao kisa sare za jeshi na kuacha kufanya mambo ya msingi Kwa ajili ya mustakabali zaidi wa Taifa!!
ukiona jeshi linaanza kufuatilia masempele wanayovaa raia kisa yana mabaka yanayofanana na yao ujue jeshi limekosa kazi za kufanya ikabidi liingie mitaani kusaka mitumba yenye mabaka kama yao
 
Kwa jinsi chaguzi zinavyonajisiwa hapa bongolala, jeshi letu limejengwa kwenye uvumilivu wa hali ya juu......chukulia hata hili la kupiga dili kwenye bandari na hata kule ngorongoro, watu wanapiga madili utafikiri nchi ni mali yao binafsi na hawana woga wowote.​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…