Tony Cipriano
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 2,139
- 5,109
Ndo maana hayupo na Putin atamfuata hukoNina hakika JPM angelikuwepo leo angemuunga mkono Putin kwa moyo mkunjufu.
Dah inasikitisha sanaHuku kwetu chadema inapindua nchi na wanajeshi wanapindua makabati ya wananchi kutafuta nguo zilizofanana na zao [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama Hilo li kitenge na zembela wanipe Mimi niyakande huwezi kuwa dalali ukadalalia nyumba yenuYani hao jamaa ikitokea bongo kikanuka KY jelly inawahusu
Mtasaga wangapi? Mtapoteza wangapi?Watu waliokata tamaa Kama huyo.jamaa ni WA kuwa identify na kuwasaga mapema wapotee kabisa kabla ya kuleta shida Kwa wengine.
Ni kweli 100% lakini na uhakika hata hawa watakaoingia madarakani watayafanya kama ya kina Bongo kwa sababu mifumo yetu sio ya kuwajibishana kwa maana check and balance. Hawa wa Gulf wanakitu kimoja wanajuwa nguvu zao zinategemea support ya watu wao, ndio maana wao kama family za kifalme wakiona kiongozi anafanya mambo kuhatarisha maslahi ya family wanamtoa wao ndani kwa ndani. maslahi ya family zao wanaweka juu kuliko maslahi ya mtu mmoja mmoja. Wanajilimbikizia mali pia lakini wanahakikisha wanawapa na watu wao waishi kwa heshima. Sisi huku tunaiba bila kikomo, Equatorial Guinea wana mafuta mengi tu lakini ufukara sio wa kawaida na family rule kama Gabon tu, na nadhani ni next...1. Gabon ina watu milioni 2
2. Gabon yazalisha magaloni 181000 ya mafuta machafu (crude oil) kwa siku.
3. Gabon ni mwanachama wa nchi zinozalisha mafuta kwa wingi duniani OPEC.
4. Wananchi wake walio wengi ni maskini wa kutupwa.
5. Watu wenye umri wa miaka kati ya 15-24 hawana ajira (kwa mujibu wa takwimu za Benki ya Dunia)
6. Raisi wa kwanza Omar Bongo alichukua madaraka ya uraisi akiwa na umri wa miaka 31 mwaka 1967 Gabon ilipotwaa uhuru wake wa bendera kutoka kwa Ufaransa.
7. Tangu mwaka 1967 Omar Bongo alikuwa raisi wa nchi hiyo hadi alipofariki mwaka 2009 akiwa na umri wa miaka 73 na mwanae Ali Bongo kutwaa kiti cha enzi.
8. Imeelezwa kuwa familia ya Bongo ina nyumba 33 nchini Ufaransa ambazo zote zimenunuliwa kwa fedha taslimu.
9. Kuna wanajeshi wapatao 400 wa Ufaransa mjini Libreville, idadi ilopunguzwa kutoka 1000 mwaka 2009 baada ya Ali kuchukua madaraka kwani baba yake alikuwa akilindwa na wanajeshi hao ambao pia wapo Gabon kulinda maslahi ya Ufaransa.
Mapinduzi haya ya nchi za Afrika ya kati na magharibi hivi sasa yameitikisa Ufaransa na pia yamezistua nchi nyingi za Jumuiya ya Ulaya.
Mapinduzi ya Gabon yaweza kusemwa ni mapinduzi yalotegemewa kwa kuzingatia kuwa wananchi wameyakubali kutokana na namna familia ya raisi Bongo inavyotumia vibaya rasilimali za nchi hiyo kwa miaka 56 ambayo wananchi wake walipaswa kuwa na uwezo wa kufaidi matunda ya rasilimali hizo.
Wote watakaojitokezaMtasaga wangapi? Mtapoteza wangapi?
Tofautisha mfanya biashara mwekezaji na na mtawala, France anachukua tu anavyotaka usilete mifano ya ajabu hapa. Hakuna mtu kakushikia bunduki ufanye naye biashara wewe mwenyewe umemuomba aje awekeze kama kuwajibisha serikali yetu kwenye uchaguzi kapige kura usituletee nuksi kwenye nchi yetu. Kwa taarifa yako huku CCM wapo mpaka kwenye nyumba unayokaa.Kwanini French speaking African nations ndio zina vita tu?
1.) D.R.C CONGO - Has seen decades of violence especially in the north-east - French speaking 2.) C.A.R (Central African republic) - Has recently undergone a cope de tat - French speaking 3.) MALI - Recently was taken over by rebels in the Northen part, french troops intervened - French speaking...www.jamiiforums.com
Bado kwa hawa madalali wa waarabu
huku Kuala lumpa Malaysia ni mbali sanaYaja...!
Bado kwa hawa madalali wa waarbu, the clock is tickingTume ya uchaguzi ilikuwa tayari imeshamtangaza Ally Bongo kuwa mshindi. Watu wamechoka na demokrasia za mchongo
Mabeberu wana play part kubwa kwa kuwachochea hao puppets kuendelea kukaa madarakani na kufanya ubadhirifu na uongozi mbovu , ni wanafiki sana .Wala inshu sio mabeberu ni tamaa zao tu hao viongozi hawaridhiki!!je Mugabe alikuwa kibaraka wa mabeberu?,
Umeongea vema sana ndugu yanguMabeberu wana play part kubwa kwa kuwachochea hao puppets kuendelea kukaa madarakani na kufanya ubadhirifu na uongozi mbovu , ni wanafiki sana .
Huu ni mwanzo mzuri .
Nchi zote ambazo wana masilahi yao mfano Gabon ,Angola ,Nigeria ,Guinea ,Niger NK hizo nchi wananchi wametopea kwenye umasikini wa kutupwa wakati nchi zinazalisha resources zenye thamani kubwa duniani na zinazoendesha uchumi wa dunia mfano Uranium ,Mafuta ,madini nk ,kiongozi hata awe mbovu vipi kwenye hizo nchi huwezi ona wanatoa presha ya kwamba ang'oke .
Mugabe alikuwa ovyo,hiyo nakubali lakini ,muone pia na unafiki wa nchi za magharibi , wao masilahi yao mbele ndio wanatanguliza ,mmeona wafaransa walivyong'ang'ania hapo Niger mpaka sasa ,na Marekani ,France nk wanauwekezaji kwenye resources za madini na mafuta kwenye hizo nchi mpaka sasa ,tumeona Angola yule Dos Santos alivyokuwa gaidi kipindi cha uongozi wake na ubadhirifu wake wa mapato ya serikali aliyoyatumia kuifanya familia yake kuwa mabilionea ,sikuona Mmarekani na wenzake wakihusika kumuwajibisha , Omar Bongo WA Gabon katawala miaka mingi sana na mpaka kamrithisha uongozi mtoto wake pamoja na kufanya ubadhirifu wa pesa za nchi yet Marekani walikuwa kimya , Nigeria corrupt regimes imekuwa kawaida miaka na miaka ,tangia enzi za akina Sani Abacha yule aliyeiba bilioni 42 dollar ,na wengine pia mpaka leo .
Afrika itajengwa na waafrika wenyewe ,ni upumbavu wananchi hawafaidiki na uchumi wa nchi zao ,watu wanaishi kama ngedere vile ,na ukiangalia resources zilizopo zinatosha kubadilisha maisha ya mwananchi wa kawaida ,kuna wapumbavu wachache wamefanya haya mataifa kama mali zao binafsi ,mbwa kabisa hawa . Ni kuanza kudeal nao kibandidu sasa hivi kama hivyo .
Huyo fala aminywe vilivyo na wataifishe mali alizoiba yeye pamoja na baba yake miaka yote hiyo .
Subsaharan spring hiiECOWAS hapa hawajui washike la Gabon au waache la Niger. Nyakati nzuri sana hizi kuishi, Mungu atupe umri mrefu tuone mwisho wa hili vuguvugu ukoje.
🤣Yapo huko yanakumbana na raia alievaa hata mfanano wa kombat ya jeshi la U.S
Yani ni mapuuzi balaa najua kuna wenye akili watatoka mule.