Gabon: Jeshi limechukua madaraka baada ya Ali Bongo kutangazwa mshindi wa Urais

Hawa ndo wanaume sasa
 
Jeshi letu muwe neutral, huu ni mfano hai - CCM wakiiba kura mchana mchana msiwachekee, hii ndiyo dawa yao. Simama futa uchaguzi, badili sheria na kanuni - tunaingia mzigoni tena them mshindi anapewa dola.
Wanakuwaje neutral wakati wanafaidika?
 
Safi sana
 
Haloo. Jogoo wa Mosco kawika Gabon?

Afrika inapitia kipindi cha mapinduzi na hii Hali siyo ya kawaida.

Mapinduzi yamefululiza sana.
The USSR is back. Haya yalitokea sana miaka ya 1970s wakati wa vita baridi. Kufikia 1991 yakasimama baada ya USSR kusambaratika na Russia kuanza kujijenga upya. NATO imetamba sana kuanzia hapo ila naona sasa USSR inarudi kupitia mother Russia.
 
Hizo ndo Nchi zenye Askari wataaramina.
Kule kwa wagagagigikoko jeshi limejaa familia za mabwanyenye.

Wapo bize na matako ya raia wao wasivae mitumba yenye mfanano na majoho ya KANISANI.maana wanahisi yanautakatifu.
Aibu.
Afrika inaenda kukombolewa,kutoka kwenye kizazi Cha KINAFIKI.
Nchi ya 4hiyo.
ECOWASI waendelee kushupaza shingo Sasa.

Mesegi sent kwa Afrika nzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…