Hao wanaoandamana ninyi ndo huwa mnawapa Chakula,? Hawa ni watu wazima wanaojua nini wanafanya, Waacheni vijana wadai Nchi yao. Wazee mmewafikisha hapoMsiwasikilize hawa watu.
Mtaumiza watu wasiokuwa na hatia, familia na jamii nzima.
Hakuna maandamano yataleta chakula juu ya meza. Hakuna.
Suluhu pekee ni kufanya kazi kwa bidii
Mpo kazini hongereni sanaHalafu badae wanakuja kuilalamikia serikali
Kama nyie ni wanaume mnataka watu wengine wanini si mkaandamane wanauumeWewe tulia ndani umpe huduma Mume wako. Haya mambo waachie wanaume
Hakuna anayekuwa mpumbavu mara mbili,elewa!!Unaumia sana enh watanzania kukichafua siku 6 yaani kama huamini kilichotokea🤣🤣🤣🤣
Andamaneni tenaMpo kazini hongereni sana
Ushasikia tarehe hiyo hapoAndamaneni tena
Umeanza tenaGen Z hawapoi hawaboi, wanasema hii kesi haijaisha, wapo kwenye plan ya kuja na maandamano mapya siku ya uhuru 09/12.
Wanasema maandamano hayo yatapewa jina la Liberation Day.
Aione
IGP
Jumanne Muliro
Hatulitegemei tena limetusalitiJeshi la wananchi litaunga mkono au litajificha?
Naombea kiwake tena, ila msikimbilie kwenye mitandao kulialia tena. Maana kazi ya Mjinga siku zote ni kuumia na hupaswi kumuonea huruma.Qmmmmq ACHA kiwake
Nimecheka sana😂kukutana nae kimwili!
Toa use3nge wako hapa wewe TahilaBado sijajua kiongozi wa hay maandamano ni nani Hadi sasa!
Lakini namwambia hiyo sio njia sahihi Kwa watz kudai haki zao!!
Tuzungumze na samiah aliahidi katiba mpya kwenye kampeni,tumdai aitishe bungee la katiba!
Haya ya juzi ingekua hivyo kusingekua na hasara kubwa Kiasi kile + lockdown.This time yaratibiwe vizuri, mabango ya kutosha na kero ziwekwe wazi, serikali na vyombo vya usalama vilinde watu wakifanya peaceful demonstrations.
Na ili ujue serikali za kiafrika ni katili, pamoja na coordination nzuri, bado watapiga na kuuwa.
Shame!!
Tulisema tuandamane wote. Kwanini ujifungie ndani?Waliokufa wengi wao hata hawakuwa waandamanaji maskini.Safari hii baada ya kuandamana msirudi majumbani mana watapita nyumba hadi nyumba kuwasaka.
Vijana wwngi walioandamana wamejaa telee wameua raia ambao hata hawahusiki
Sina ndugu yyt aliyeumia ktk maandamano yaliyopita ila kwa kutazama maumivu waliyopitia watz wenzangu maandamano hata watoke wachache nitaungana nao kudai kumtoa mkoloni mweusi bila kushawishiwa na mtu yytWale Nyumbu mliowadanganya wakatoka wamekiona chamoto sahivi hawatatoka labda nyie mliopo nyuma ya keyboard muache kujificha chini ya uvungu muende nyie barabarani.
Maana keyboard warriors nyie hamfi kila siku mko online kumbe siku ya maandamano mnafanya usafi uvunguni na kujificha
Bila shaka wamesema pia kuwa, kama kawaida, we utulie humu kuleta threads za uchambuzi baada ya maandamano 🤣🤣🤣Wanasema maandamano hayo yatapewa jina la Liberation Day.
View attachment 3497536
Saaaaawa!!kuna sehemu nimeona wanaita #MO29 SEASON 2 "Judgement day"
Mbali sana mbona?