PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Tokeni mje mfanye tena vurugu mle shaba,safari hii hakuna kucheka na kima yeyote
 
Reactions: UCD
Na atulie tu nyumbani achezee uboo wa mumewe.

Nchi inakombolewa na wanaume walio tayari kumwaga damu zao sio na wanawake kama huyo.
Mbona unaongea sana kama unaisikilizia KY?

Subiri hiyo tareh unayosema utoke road uone kufa kunafanana vipi,wapuuzi mje mfanye uhalifu na kuiba mali za watu kwa kusingizia maandamano?

Mtakula shaba tuh
 
Hawa watu wano jifanya wameumizwa na vifo vya watu ni waongo maana. Huwezi andaa tena ugomvi mwingine wakati mwanzo ulishindwa uka zika watu wengi now lazima msome nyakati na mumsome adui yenu mjue udhaifu wake upo wapi
Wote hao ni makiibodi woria....
Hata hawakuhusika kwenye mandamano, walijificha ndani...

Kwa kweli nimesikitishwa sana na mauaji kwa ujumla sababu nimeishi maisha yangu yote na mpaka kuwa na watoto ninaowaambia nchi yangu ni nchi ya amani sana, maana wanaona kila siku kwenye mtandao jinsi nchi za afrika zilivyokuwa na vita na mauaji kama Sudan na Congo nimejibu maswali mengi sana kutoka kwao....

Cha ajabu, humu kuna vichwa pumbu waliokuwa wako live muda wote wa maandamano na hapo ndio utajua hawaishi nchini, lakini kila kukicha humu ni utasikia tukiwashe tena sijui tukamtembelee na huyu au nina hasira sana nataka kuuwa polisi wote huku akiwa kwenye kilaptop chake huko ughaibuni.....
 
Wanazingua hao Kaka angalia hata huyo Maria na ujasiri wake wote hata Baba yake hajaja kumzika Tanzania anaogopa kujitoa sadaka ila watoto wa wenzao ndo wanataka waumie na kuuliwa
Vijana amueni
 
Sio kila mtu wakumsikiliza
 
Ivi nyie jamaa mtu yupo huko kusikojulikana lakini anawasihi muandamane ,ivi akili za wapi izi vijana na nyie tumien akili basi!
Mtapigwa sana virungu mwaka huuu
Jengeni nchi yenu vijana,mtaishiaa pabaya sana.
Mwenye masikio na asikie..
Waache, usiwastue, suala la virungu halipo tena. Ni moto kwa kwenda mbele acha waendelee kuendeshwa kama maboya. Walitakiwa wamwambie huyo anayeendesha hizo kura nae aje waandamane pamoja. Bado nasisitiza Watanzania tuko wengi mno, wanaoamua kujipunguza tunawatakia kila la kheri.🙏
Ivi nyie jamaa mtu yupo huko kusikojulikana lakini anawasihi muandamane ,ivi akili za wapi izi vijana na nyie tumien akili basi!
Mtapigwa sana virungu mwaka huuu
Jengeni nchi yenu vijana,mtaishiaa pabaya sana.
Mwenye masikio na asikie..
 
Sawa tokeni na wewe uwepo.
 
kwahiyo jamaa amekimbia nchi?
Yuko nje ya nchi ukitaka kujua angali comment zake humu siku internet ilikuwa imefungwa yeye alikuwa ana comment maana yake alikuwa yuko nje ya TZ ndio maana aliweza kucomment.
 
Wewe kama nani uwapangie vijana wanaopambania nchi yao?
Damu na vifo ni gharama ya ukombozi. Nendeni barabarani vijana mkadai HAKI.
 
Mna waumiza vijana wanakufa uku bado wana ndoto zao hivi mna faidika na nini na vifo vyao?
Anayewaua ni nani huyo na kwa nini awauwe badala ya kuwasikiliza? Kwanini usipaze sauti huyo anayewauwa akamatwe?
 
Unyama na matendo ya kikatili yaliyofanywa na Polisi hayazungumziwi kabisa. Cha ajabu, kila siku wapo bize kutoa matamko ya kusaka na kushughulikia watu.

Lakini, tukiwa wakweli, ninyi polisi dhalimu ni nani atawawajibisha kwa matendo yenu maovu? Mnajipa utukufu wa juu sana kuzidi hata malaika kwamba ninyi hamkosei, kila mnalofanya lipo sawa.

Mnasahau hata gadhabu ya wananchi ninyi ndiyo mmeichangia kwa kiasi kikubwa sababu mmekuwa wajivuni, dhalimu na waonevu kwa kipimo kisicho mithilika.

Mkishamaliza kuwasaka watu wa CHADEMA na Gen Z waliopambani nchi yao, hakikisheni mnatuambia ninyi mlio dhalimu, ni nani atawashughulikia kwa matendo yenu ya ovyo yasiyo na utu mliyofanya kwa watanzania?

Mfano halisi ni video hii ya tukio la Kituo cha Polisi Kisesa. Na kama sisi hatutawaadhibu, Mungu wa mbinguni atawapa mapigo ambayo vizazi vyenu vitauona utukufu wake.

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…