sahihi kabisaKabisa lissu kwa issue za magu kweli alikuwa ana uhakika zaidi ya 100%....Source wake ni mkweli sana ,hata kukamatwa bombadier hakutulisha tango pori ,hata kabla ya kushambiliwa alilitaja gari ambalo lilikuwa linamfatilia kila anapoenda.
Namshauri lissu akiwa anawasiliana na source wake asitumie voice ya kawaida au namba yake ya simu...Maana system za "KUTREPU" simu bado zipo.(LIN).
Kama kawaida,DATA zinaongea...Kama akili zenu ndio hizi hamtaki kuamini kuwa covid is real.
Mtaisha wote hata huyo mama samia
Kwani Lissu na Lema walikuwa wanavaa barakoa wakati wa kampeni?Yule mrithi wa Nkunzizah hafanyi mzaha na covid kabisa
Lakini Lisu alishambuliwa sana kwamba analeta habari za uongo.Lisu alikuwa detailed, Lema sidhani kama ana credible source kama Lisu
Aksante,inabidi tuwalazimishe kuonaKwani Lissu na Lema walikuwa wanavaa barakoa wakati wa kampeni?
huo ni uzushi. jana aliesimamia shughuli za kuaga mwili uwanja wa Uhuru ni Simbachawene
Ni ugonjwa wa kawaida tu kama mafua mengine kupitia Gazette la habari leo, je ulikuwa unataka kutuongezea kitu gani Deception..Kama kawaida,DATA zinaongea...
Naomba unitajie dalili 2 tu za covid19 ambazo zipo kwenye covid19 TU lakini HAZIPO kwenye Influenza.Lete ushahidi wa jibu lako.
Nakuruhusu ukaulize popote pale ukitaka ili uweze kujibu swali hili.
Ukizipata dalili hizo,naapa leo ndio itakua mwisho wangu kuandika kitu chochote humu ndani.
Swali hili ni changamoto inayowataka wengine waanze kutumia akili zao sawasawa.
NB;
Nawaibia kidogo data hapa chini
Hapana, ni kuzuia ukimwiHv kuvaa barakoa ndio kuzuia corona?
Kifo cha Rais kimeshusha hadhi za watu wengi akiwemo, MusibaLakini Lisu alishambuliwa sana kwamba analeta habari za uongo.
"Kuna watu wako nje wanazusha habari za uongo, rais yu mzima buheri wa afya anachapa kazi"
Ccm wamesahau sala aliyo omba kule Tanga wakati wa kampeni za uchaguzi.Kaandiki hivi kupitia twitter ambapo pia ameambatanisha picha ya Simbachaweni katika tweet yake hiyo:
Yuko wapi Waziri Simbachawene ?Vaeni Barakoa. Jilendeni na corona.Mtaisha mkifanya mzaha.
Unauliza majibu..Hv kuvaa barakoa ndio kuzuia corona?
Hiki kurusi ni hatari msikiletee mzaha ukiweza vaa barakoa inapunguza maambukizi...Zimbabwe mawaziri wanakufa mbona wwnavaa barakoa
The termed 'covid19' kwanini umepewa air time kubwa sana wakati hauna tofauti YOYOTE kidalili na Influenza?Ni ugonjwa wa kawaida tu kama mafua mengine kupitia Gazette la habari leo, je ulikuwa unataka kutuongezea kitu gani Deception..
Tangu Lin Mwafrica akamzidi Mzungu ? Hyo ipo verified kabisa kwamba Africa ni underdog Kwa Wazungu , 🚶🚶🚶 ni vema tunapokabiliana na hawa watu tujue namna vyema ya Kula nao sahani moja maana ushindi kwetu ni minimal .......Mnajadili jambo msilolijua kabisa,nawaonea huruma sana,sijui ni lini waafrika(watanzania) wataanza kuutendea haki ubongo wao.
Mnachofanya ni sawa na wakristo na waislam wanaposema Mungu ni mmoja tu,lakini wakati huohuo wakristo wanasema Yesu ni Mungu ilihali waislam wanasema Yesu SIO Mungu,halafu ukiwaambia Mungu wa wakristo na wa waislam ni tofauti wote watashirikiana kukushambulia kwa pamoja,LAKINI FAHAMU KWAMBA,HAKUNA HATA MMOJA ALIYEWAHI KUMWONA MUNGU WAKE.
Akili kama hizi humu ndani ndio zinawapa credit mataifa ya kibeberu yaendelee kuendeleza agenda zake mbovu dhidi yetu.
SI LAZIMA mnielewe,kila mtu anaweza kubaki na anachojua ila UKWELI hubaki palepale,anayeutaka ukweli ataupata kama akiamua kuutendea haki ubongo wake.