Godbless Lema ahoji alipo Waziri Simbachawene

Aisee hivi kwann wasimantain social distance na kuvaa Barakoa.
Yaan if it true ntashangaa sana! Honestly
... hili sasa limevuka mipaka; ni suala la usalama wa taifa! Taifa litakuwa hatarini tukipoteza viongozi wengi kwa mpigo sijui hawa jamaa wanaliona hilo. Ifike mahali isiwe hiari kuchukua hatua stahiki kwa viongozi. Kama tulikosea mahali wajisahihishe; ni ujinga ku-risk usalama wa nchi kumfurahisha fulani ambaye kwa sasa hayupo!
 
Kama alikuwa anajua mbona alishindwa kujikwamua na ile mibunduki!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Juzi nimemuona ktk viongozi wanaoaga mwili, ina maana jana tu lema keshammiss simbachawene...
 
Ivi Jenister Mhagama ni nani kwenye huu msiba wakuu?

Kila kona yupo, kila location yupo anaonekana kuliko mawaziri wengine kwani yuko kamati ya mapokezi au vipi
... Jenister ni waziri wa nchi, ofisi ya waziri mkuu (Bunge). Hii issue kimsingi ni ya kwake; tukiweka ule mwongozo wa TLS pembeni kwa muda lakini kwamba mara baada ya Rais kuapa baraza la mawaziri lina vunjika.
 
Simbachawene nimemuona juzi siku ya kuaga viongozi alipita hapa kinyerezi akielekea Nyumbani kwake
 
Pia Yasir Arafat alipata kuwavimbia wazungu kwa kuwaambia "this is my home land no one can kick me out" na alisanda.
 
Kaandiki hivi kupitia twitter ambapo pia ameambatanisha picha ya Simbachaweni katika tweet yake hiyo:

Yuko wapi Waziri Simbachawene? Vaeni Barakoa. Jilendeni na corona. Mtaisha mkifanya mzaha.
Halafu mpuuzi kama huyu unategemea aje kuwa kiongozi wa serikali, labda ya wahuni
 
Kwenye wabumge kumuaga jpm,
I think i just saw Simbachawene passing through the coffin to pay his last respect.... there was a little blidspot but i believe that was him...got a little block from the fainted lady...
 
Lema nimuhakikishie tu kwamba ataendelea kuandika nyuma ya keyboard akiwa huko huko Canada.
 
... huwa sielewi inakuwaje binadamu wenye akili, utashi, hisia, tena viongozi wasomi wanafikia level hiyo ya uelewa? Nadhani kuna nguvu ya ajabu behind sio bure!
Hata Hitler alitia hofu kubwa sana kwa wananchi wake
 
Kaandiki hivi kupitia twitter ambapo pia ameambatanisha picha ya Simbachaweni katika tweet yake hiyo:

Yuko wapi Waziri Simbachawene? Vaeni Barakoa. Jilendeni na corona. Mtaisha mkifanya mzaha.
Akidi ya wanaotakiwa kumaliza mwendo labda bado haijatimia ndio maana wamewekewa moyo mgumu kama farao. Sio sahihi kumjaribu Muumba wako alafu mtuambie amependwa zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…