Godbless Lema ahoji alipo Waziri Simbachawene

Yule mrithi wa Nkunzizah hafanyi mzaha na covid kabisa
Anavaa barakoa ina rare cases! Bujumbura watu wanavaa just like Dar.

Kila mtu ajilinde vile ashauriwavyo, kuna millions wanakufa while wanavaa barakoa.

Mie nimeugua twice na ile ya kwanza nilijitahidi sana ku-sanitize na kuvaa barakoa sana! Ila niliugua vzr tu!

So, Mungu akipanga ufe kwa Covid, u will never escape yo fate!
 
Acha kudanganya watu mchana kweupe!

Msimsikilize huyu. Mtaisha! Vaeni barakoa. Epukeni misongamano. Nawa mijini mara kwa mara. Korona is real.
 
Kun watu wanaamini siku ya kufa ikifika, hata kama uko ukimbizini hauwezi kuikwepa. Ndo maana hata wazungu na utaalafu wao wote wakupandikizana mpaka viungo nao hufa.

Kuna wengine wanaamini, kwa weredi na maarifa wanaweza kuahirisha siku yao ya kurudisha namba.

Hawa wote wabeba imani hizi ni wazaliwa wa mwanamke.
 
Hii Corona tuliipuuza sana Tz, imeua wengi sana kwa kisingizio cha pneumonia!
Viongozi wetu walituaminisha vibaya tukawaamini na misiba inatuumbua!
bado sasa hii covid imea-advance na imepanda cheo zaidi nchini mwetu!
Tuchukue hatua haraka iwezekanavyo kwani hali sio nzuri.
 
Ohooo...!!
Kaandiki hivi kupitia twitter ambapo pia ameambatanisha picha ya Simbachaweni katika tweet yake hiyo:

Yuko wapi Waziri Simbachawene? Vaeni Barakoa. Jilendeni na corona. Mtaisha mkifanya mzaha.
 
Lisu alikuwa detailed, Lema sidhani kama ana credible source kama Lisu

Mkuu, ameibua swali tu. Huenda anataka watu watoe maelezo kama ilivokuwa kwa Rais kisha atoe details! Kwa sasa ni vema tu kujua yuko wapi.
 
Kaandiki hivi kupitia twitter ambapo pia ameambatanisha picha ya Simbachaweni katika tweet yake hiyo:

Yuko wapi Waziri Simbachawene? Vaeni Barakoa. Jilendeni na corona. Mtaisha mkifanya mzaha.
Nabii Godbless Lema, hahahaha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…