Makirita Amani
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 1,915
- 3,422
- Thread starter
- #81
Uwekezaji kwenye bond ni kuanzia Tsh Milioni 1.P
unaweka mzigo wa kiasi gan ili ulipwe asilimia 15 kwa miaka 25?
Ukiwa na chini ya hapo unaweza kutumia mifuko ya pamoja kama UTT AMIS ambapo pia wana mifuko ya bond.