Habari Njema; Nimeidhinishwa na Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Kutoa Elimu ya Fedha

Ngoja tukunyang'anye hicho cheti,umeshavunja Sheria
Tatizo jingine linafanya hii nchi inazama kwenye umasikini ni hizi akili za kutishana kijinga.
Hivi unafikiri mimi cheti hiki ndiyo kitaamua maisha yangu?
Mkuu, nina cheti cha udaktari, daktari wa binadamu, MD.
Iwe unatania au unamaanisha, nikuambie hapa umeandika ujinga sana.
Na hayo yote ni madhara ya umasikini.
Hivyo karibu darasani upate elimu sahihi ya fedha ili uachane na huu ujinga.
 
BOT wanayo calculator ya kukokotoa marejesho ya bond kwa kiasi na muda utakaowekeza.
Fungua hapa; Bank of Tanzania
 
Ulimwengu wa sasa hasa huku kwetu Tanzania watu hawapendi kusoma vitabu.

Wewe jikite kwenye mitandao ya kijamii, unaandaa mada na kuifundisha na kutupia short videos mtandaoni. Hiyo ndio njia rahisi ya kuwapata walengwa wako.

Hakikisha uko mitandao yote, mitandao ya kulipia hakikisha unalipia ili kuwafikia wengi zaidi.
 
Sasa mbona umeshangilia kukipata kama unalijua hilo?
 
Hakuna namna hiyo idea yako inaweza fanya kazi katika ulimwengu halisiwa nje ya makaratasi
Mkuu, huku kukaza shingo ndiyo kunakufanya uwe masikini na utakufa na huo umasikini kama hutaacha huu ubishi usio na maana.
Unabishanaje na mtu anayefanya kitu kwa uhalisia?
Jifunze mkuu, kuna vingi hujui.
 
Why easy money,Ukae na hela yangu for 25 years unipe 15%. ?

Inflation ni 4.6 to 6 kwa mwaka. Mnaakili nyie?
Tatizo mnapoga hesabu rahisi sana.
Nitafanya madarasa mengi hapa juu ya hili.
Tutaeleweshana taratibu na kuelewa.
Karibu.
 
Hongereni sana kwa hatua hii mnayochukua ya kuhakikisha maarifa yanawafikia wengi zaidi.
Karibuni kama mtahitaji vitabu nilivyoandika kuwa kwenye majukwaa yenu.
Mtanipa mpango wenu na kama utakuwa sawa tutafanya kazi pamoja.
Karibuni sana.
 
Huyu itabidi siku nmchkue nmpeleke ruangwaa lindi huko
Au hombolo dodoma tukamuoneshe namna gani watu wanavyozisaka pesa
Akirudi atapata kitu cha kujazia kwenye vitabu vyake

Ova
Ugoro mwingine ni huu hapa.
Kwa hiyo mimi natokea Marekani au?
Hii nchi ujinga ni mzigo sana.
Haya yote ni makasiriko ya umasikini.
Mkuu, dawa ya hayo yote unayopitia ipo, njoo nikupatie uondokane na huo umasikini na hizi fikra zake mgando.
 
Hongera sana mkuu, umemfafanulia vizuri, tatizo wengi hawapigi hesabu cummulatively, bali wanaangalia mara moja.
Lakini nina uhakika hajakuelewa, au atahamisha goli kama kawaida yao.
Lakini ukokotozi upo vizuri sana.
Hata mtu anaweza kujaribu mwenyewe kwa viwango mbalimbali hapa; Bank of Tanzania
 
Hongera Ila ngoja mie niongee kinyume na emotions zako. Why usiwe tajiri kwanza ndio watu wakaja kwako kutaka uwape maarifa Mana uelewe vitendo ni gharama mno kuliko maneno.
Kila mtu anaweza akaongea na akafundisha Ila sio kutenda.
Actions are strong than words hata wanao wafundishe kwa kufanya ama ku behave unavyotaka wao waji behave.
Binadamu tunaelewa kwa kuona kuliko kwa kusikia.

Ndio yake kishimba anasema wewe unakuja na Cheti chako na tai yako Halafu unataka usimamie hela zangu kweli.

Yaani Cheti tu na tai u trade na hela zake. Aliongea kuhusu benki waliyotaka kufungua wao wametoa pesa nyingi zaidi ya 500M jumla 2bn benki ifunguliwe Ila Sasa eti bot wakasema kuwa mtu asiye na Cheti cha masuala ya pesa ama iyo elimu asiwepo katika bodi ya wakurugenzi.

Kupata pesa ni kitendo, hela ziishi kwako ama zisiondoke kwako ni tabia yako na hela kuzidi kuzaliana ni suala la maarifa na ujuzi.

Sasa hapo kwenye tabia ni kazi mno kufundisha mtu tabia. Ni sawa useme utamfundisha mzinzi qache uzinzi, Malaya aachane umalaya,
Mwizi aache wizi, mvivu awe na nguvu ama bidii za kazi,mlevi ama mvuta sigara aachane na hizo tabia.
Kuongea ni rahisi mno na unayoyaongea sio kuwa sio ukweli unakuta ni ukweli Ila utendaji ni ishu nyingine hata wewe unayeyaongea huwezi yafanya.

Samahani kwa kwenda kinyume na wewe Ila nakupongeza kumiliki Cheti cha CFA.

Ila jitahidi na ninakuombea uwe like abood watu watakuwa wanaelewa mno masomo yako hata Yule wa Kijijini atakuelewa.

Sasa unaandika kitabu namna ya kumiliki pesa Halafu unakiuza badala ya ugawe bure Mana tayari umeshatumia hizo mbinu kumiliki hela.

Kuna jamaa alienda kuomba hela akachape kitabu chake how to make money akaenda kuomba hela bana si akaambiwa akasome hicho kitabu apate hela akakichape.

Talk is cheap but actions are fuckin expensive.

Elimu inabidi ijikite katika vitendo na sio theory tu.
Mana ya elimu ni actions Ila ni kazi mno kufanya kazi. Kuna engineer hajui ratio ya materials kutoa 37MPA
 
Kwa kusoma reply zako unaonekana mtu mwenye kiburi fulani
 
Motivation speaker

Ova
 
Yeye anafikiri watu wanaishi kwa theories

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…