Habari za Kiuchunguzi kuhusu Maelfu ya Askari wa Rwanda waliouawa katika mapigano ya DRC


Yes, ni kuachana kabisa na masuala haya ya huko DRC.

Kwa wale Watu ambao wanaona inafaa jambo hili lijadiliwe, basi wajulishwe kwenda huko Goma DRC ili waende wakalijadili suala hili huko uwandani kwenye eneo la Mgogoro.
 
Mnapigana wenyewe halafu mnaomba misaada kwa Wazungu, kama sio uendawazimu ni nini?
Mnaanza kukaa vichakani wakimbizi mkisubiri waandishi wa habari wapige picha zienee kwenye magazeti ya dunia kuomba faraja

Kweli Africa itakuja kujielewa kama binadamu?
 
Uko sahihi. Nimefurahi kuona moja ya resolution ya kikao cha Jana , ni wakuu wa Majeshi ya Ulinzi kuja na mkakati wa pamoja. Naamini hao watatuletea solution ya kudumu. Atakaenda kinyume na hayo, apigwe.
 
Sawa sawa ,mnaitisha mkutano wa aman then Mjumbe mmoja anasema hakuna wa kuninyamazisha
Ile ni dharau ya hali ya juu. Alianza baada ya mkutano wa Nairobi wa EAC. Hata jana, PK kaongea utumbo tuu. Watusi wako sana Burundi, DRC, Uganda Na Tanzania. Kule Manyovu Kigoma, Vijiji kama Kalinzi, Mukigo na vijiji vinavyozunguka maeneo hayo, vina majority ya Watutsi. Wilaya za Ngara, Geita, Bukombe, Biharamulo na Karagwe zimejaa watusi. Na always, mtusi popote alipo, anajiona superior race na anajiconect na Rwanda hata kama hajawahi fika huko Rwanda.
Ikiwa Kagame akifanikiwa kuimega DRC , akaigeukia Tanzania hasa kwenye hayo maeneo yenye wakazi wengi wakitusi, na sisi Tutamuachia?

DRC inatakiwa isaidiwe kulinda Mipaka yake. Kama tulivyowasaidia Mozambique, Namibia, Zimbabwe, SA, na wengine wengi, tuwasaidie pia wakongo mipaka yao isiingiliwe.
 
Yeah!... Rwanda ikibanwa na vikwazo (kama mwaka 2012) haitokuwa na uwezo wa kufadhili na kuendesha hii vita.

FRANCIS DA DON Tresor Mandala Yoda inamankusweke
 
Mkuu Kwa ufupi tu Kagame anaidharau EAC ,kwasababu Ruto na Mama wako nae ktk Business...na ndio maaana Felix Tshishekedi anataka SADC ndio wasimamie huo mgogoro ila chakushangaza Sasa SADC nao kama wanasuasua
 
Mkuu Kwa ufupi tu Kagame anaidharau EAC ,kwasababu Ruto na Mama wako nae ktk Business...na ndio maaana Felix Tshishekedi anataka SADC ndio wasimamie huo mgogoro ila chakushangaza Sasa SADC nao kama wanasuasua
Tanzania tunafanya biashara zaidi na DRC kuliko Rwanda. Soko la Drc ni kubwa kuliko mkoa wa Rwanda. Kama nchi, ningeshauri, pamoja na kuchangia wanajeshi wetu kwenye jeshi la kulinda Amani, twende mbele zaidi, tuongeze msaada kwa masharti. Itatusaidia kuongeza ukwasi wa wafanya biashara wetu. Hata hayo madini anayoiba PK , yanaweza kuwa yanaingilia kwetu kupitia njia ya maji( Ziwa Tanganyika). Mind you, kutoka DRC mpaka Mpaka wa Tanzania kupitia Kalema Katavi ni Masaa 4 sawa na Dar Kilosa. Hapo tukijenga meli ziwa Tanganyika, muda utapungua zaidi, na tutadiverge bussness kuja Bongo zaidi.

I mean tuwasaidie kumpiga PK at the same time, tuongeze biashara nao hasa kupitia ziwa Tanganyika.
 
Wanajeshi au Wapiganaji kufa vitani ni jambo la kawaida, isipokuwa Hoja ya msingi inabaki kuwa: Je, kulikuwa na ULAZIMA wa kupigana Vita hiyo?
Endapo kama swali hili jibu lake ni Ndiyo, Basi Wanajeshi hao watakuwa wamekufa kishujaa.
Hoja ni askari wa Rwanda kufia Drc ilihali Rwanda imekanusha kutohusika na vita hivyo.
 
Wanasema ule mchongo wa Port ni WA PK alimpa Mama
 
Duuh..yaani PK akatoa mchongo wa Port ambayo hana? Kwamba mchongo ule ulitakiwa upelekwe Rwanda wakajenge port kwenye ziwa Kivu?lolote lawezekana, that's why tuna Serena Hotel in Dar na Serena Hotel Kivu upande wa Rwanda.
Unatakiwa uanze mbali, yeye na Mama huo mchongo wao, utaelewa siku moja
 
Duuh..yaani PK akatoa mchongo wa Port ambayo hana? Kwamba mchongo ule ulitakiwa upelekwe Rwanda wakajenge port kwenye ziwa Kivu?lolote lawezekana, that's why tuna Serena Hotel in Dar na Serena Hotel Kivu upande wa Rwanda.
Hahahaha,ningekusaidia kitu ila naona we bado kdg
 
Hofu yangu ni kwamba hivi watawala wa hii nchi wanaona kama sisi tunavyoona?

Wana hofu kama sisi tuliyonayo juu ya hili suala na usalama wa nchi yetu kwa ujumla?

Mbona kama wapo wapo tu kama hawajui wanalolifanya?
Wanona! swali ni je wanajali?
CDF aliposema '' kuna wakimbizi katika nafasi za maamuzi'' kuna chochote kimetokea?
 
Duh haya makubwa sasa, ngoja wadeal nayo watawala siye tuangalie kama movie tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…