Haji Manara: Paul Makonda ulinilaza Korokoroni, acha dunia izunguke kwenye Mhimili wake

Hapa kama vipi na malaika RC mstaafu aende tu mahakamani akadai haki yake na si kukimbilia huku kwa raia mtaani, sisi hatuna uwezo Wa kumsaidia
 
makonder na haji wote chawa wa jiesiemu
 
Manara ni mpambe wa tajiri, yani adui wa tajiri ata force awe ni adui yake
 
Huyu Makonda ni jambazi aliyekuwa analindwa na Magufuli, kinachomtokea sasa ni stahiki yake pambafu zake, And Magu alikuwa anajiita mzalendo!!!!!! Mzalendo gani alikuwa analinda wahuni?
Mama ameshamshitaki?

Au nae anawalinda wahuni?
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Haji wa kumsema Makonda leo?

Nimepata somo
Ukimsikiza Haji anavyoelezea maisha yake ndani ya Simba utagundua ni mtu aliyeishi kwa shida sana kiasi cha kuishi kwa unafiki ili maisha yaendelee. Hivyo yawezekana Haji hakuwa na ukaribu wala ushikaji na Makonda Bali kwa kuwa bashite alikuwa na nguvu na aliwatisha hadi kina Mo ikabidi aendane nae tu ndani ya Simba japo kinafiki
 
Tulia sindano ingie unajua kucheza draft wewe?

Kama hujui tafuta angalau uangalie linavyo chezwa

Zingatia yafuatayo kwenye draft :

1. Highway/Main Road/Njia Kuu
2. King/Mfalme
3. Kula
4. Kula Double/Triple na kuendelea
5. Kuliwa
6. Kuliwa Double/Triple na Kuendelea
7. Kufungwa
8. Kufunga
9. Kutoka Sare
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…