Haji Manara: Paul Makonda ulinilaza Korokoroni, acha dunia izunguke kwenye Mhimili wake

Mbona na wewe uko huku Tena kama manara na mgongolwa au wewe Ni mwekezaji wa jamii forum
 
Kama polisi hawaaminiki, kwanini kusifanyike mabadiliko? / Rais ana kuwa na kigugumizi gani kumuondoa IGP na watendaji wakuu wa polisi? Hivi mwizi hata aokoke doa la wizi hufutika?
Reshuffle ndio suluhiso. Siro hsta atembee na Biblia hatuna imani nae. Sembuse Pgo
 
Makonda mwaka wake huu🤣
 
Siyo kila kitu mahakamani vijimambo vidogo vidogo tunazabuana hukuhuku kitaaa makonda mwenyewe enzi zake hakupeleka ntu mahakamani hivyo nawe utulie aendelee kuvuna matunda ya kazi za mikono yake tutafumuana mdogo mdogo hadi akili imkae sawa
 
Makonda mwaka wake huu[emoji1787]
 
And kuna machizi yanasema Makonda analindwa na Mama, Makonda halindwi na yeyote nyie jamaa, nendeni mkamshitaki, acheni uoga wenu wa kibwege, Mnajiita matajiri wakati ni waoga wa mwisho duniani, GSM na Makonda wote ni wapumbavu tu waliolindwa na watawala kuanzia Kikwete, Magufuli! Samia usijiingize kwenye hiyo ishu, waache wauane wenyewe
 
Acha
Kwa picha ilivyokuwa imejengwa tulitegemea tuone rundo la watu waliodhulumiwa mali zao na Makonda wakijitokeza, badala yake tumeanza kuona wanajitokeza wezi wa mali za Makonda

Acha kuchekesha walionuna makonda ana Mali gani ya kuibiwa na GSM?
 
Sasa nani anaeweka issue za kishamba private!jiulize makonda kwa miaka 7 aliyotumikia serikali kwa mshahara gani aweze kumiliki mali zote alizonazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…