Haji Manara: Paul Makonda ulinilaza Korokoroni, acha dunia izunguke kwenye Mhimili wake

Mkuu wa mkoa wa wapi?
 

Kurudi tena, NEVER.!

Makonda alishafutwa na Gwajima kwenye siasa kama Ndugai tu, walicheza na mpakwa mafuta.
 
Mimi nakumbuka kipindi anazozana/anaongea na Baraza la Habari Tanzania alivyokuwa anaongea kwa nyodo, dah aisee huyu jamaa napenda alipwe kadili ya matendo yake
 
Umesema kweli kabisa,nilisikia Manara aliwekwa ndani kwa sababu alifanya kosa, yani mtu ufanye utapeli huko alafu ukamatwe leo uje umsingizie Bashite ndio alikukamata na hata kama ingekuwa Bashite ndio aliagiza Manara akamatwe bado ni sahihi tu
Mkuu unaweza sema jambo moja lingine ambalo bashote aliwahi kufanya kwa usahihi ili tujumlishe na hili la Manara?
 
Kuna vile vichwa vya Treni viliokotwa bandarini, hivi ishu yake iliishia wapi? Ajabu sana hii, eti serikali ya Jiwe imeokota vichwa vya treni bandarini
 
Mimi nakumbuka kipindi anazozana/anaongea na Baraza la Habari Tanzania alivyokuwa anaongea kwa nyodo, dah aisee huyu jamaa napenda alipwe kadili ya matendo yake
Ninachojua huwa htumii akili kabisa lile bichwa ni sehemu ya kuhifadhi meno aweze kula tuu... hana akili kabisa angalia hata ongea yake. acha sasa hivi dunia imfundishe na sidhani kama analijua hilo
 
Maskini akipata matako hulia mpwata mpwata mpyuuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwenye mpira hakuna adui wa kudumu
 
Uko sahihi, lakini kusema Bashite alikuwa na madhaifu ya kiuongozi kama viongozi wengine siyo sawa, umerahisisha sana, jamaa alikuwa muuaji, katili na asiyeheshimu viongozi wenzake wala kujali mipaka yake.
Alimuua nani?

Tuwekee uthibitisho.
 
Habari za swaumu ndugu zangu,

Ni miezi mitukufu kwa waislam na wakristo kwa kila mmoja kwa imani yake wakitekeleza amri ya mungu ya kufunga kwa kujizuia kula na kunywa kwa kulingana na dini husika.

Kwa siku za karibuni kumekuwa na mgogoro au tofauti kati ya aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam bwana paul makonda na GSM ambao ni wadhamini wa dar young African ila issue sio huo utofauti bali ni mapokezi ya huo utofauti wao,

Katika hali isiyo ya kawaida yule mhamasishaji wa yanga akaingia king moja kwa moja kupambana na makonda ambaye kipindi yupo SIMBA alikuwa swahiba wake ila mambo yamekuwa tofauti baada ya kuhamia jangwani.

Sasa cha kuahangaza ni kitendo cha manara kupost picha au videos za kumkejeli makonda kupitia social network zake kitu ambacho watu walikipokea tofauti maana mpira na siasa haviendani ila manara hajawahi kukubali kushindwa na makonda vile hajawahi kurudi nyuma.

Manara ataiweza vita iliyomshinda ruge na baadhi ya viongozi wakubwa wa serikali hata kama kwa sasa hayupo madarakani ila bado ni mtu hatari kwenye mambo ya siasa na anajua umafia wote ndani na nje ya serikali ngoja tuone nani ataibuka mshindi japo makonda hajaanza kujibu mashambulizi bado.

Manara ataiweza vita ya makonda ngoja tuone nani mtoto wa mjini manara akipita hapa basi kweli yeye atakuwa mtoto wa mjini.
 
Sasa manara ana nn cha kumuweza makonda? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kitenge tyuuh anamshindwa, ndo amuweze Paul? Khaaah.
 
Manara ni mshamba ni mnafiki japo makonda kakosea sana ila manara ataingia kwenye 18 za watu ipo sku ajiangalie sana
 
vita na Mo imeisha mpaka ahamie kwa makonda
msukule sio mzima kichwani
 
Manara ni messenger tu kuna watu wako nyuma yake nae anawaamini.
 
Manara anaamini ronaldinho wa 2006 sio gaucho wa 2022,naona ndio maana kajiweka mbele.
 
Manara alipaswa ajiulize mala mbilimbili kabla haja Anza kirusha mawe kwenye nyumba ya vioo maana vingine unaweza rusha kumbe vioo ni bullet proof
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…