Haji Manara: Paul Makonda ulinilaza Korokoroni, acha dunia izunguke kwenye Mhimili wake

Haji Manara: Paul Makonda ulinilaza Korokoroni, acha dunia izunguke kwenye Mhimili wake

Acha uoga. Mbona wenyewe walitesa watu hadharani?. Usizuie watu kuongea ukweli.
Ila mkuu Manara anajulikana hajajificha mitandaoni kama sie wengine huku tunaweza kuongea lolote na tusijulikane.
 
Chid benzi aliwahi kumshauri Makonda kwamba aangalie pia na Magereza yaweze kukarabatiwa maana kule yeyote anaweza kwenda. (Sina uhakika kama nilimkariri vizuri Chid)

Wengi tulimpuuza tukajua labda ni bange ndiyo inaongea
Bange na uchizi fresh wewe unamuona chidi ni mzima?
 
Manara ni mjinga na vijana machawa wanaoamini kusifia au kuponda viongozi ni ujanaja ni wajinga.

Unakuta mtu anamtukana Bashiru, Ndungai au Polepole..

Kumbe watu wanamishahara ya Usalama wa Taifa na wapo kwenye wanamipango/mikakati ya nchi
Na bado wanasikilizwa ngazi zote
 
"Zaylisa hapa kishanuka inabidi nikajifiche huko Muheza kwenu mana naona dalili za kuja kuvalishwa mask kama ya Okrah ,nisiyempenda kaja"
 
Manara ni mjinga na vijana machawa wanaoamini kusifia au kuponda viongozi ni ujanaja ni wajinga.

Unakuta mtu anamtukana Bashiru, Ndungai au Polepole..

Kumbe watu wanamishahara ya Usalama wa Taifa na wapo kwenye wanamipango/mikakati ya nchi
Wewe ndiye mjinga na mpumbavu wa kutupwa.

Yaani unamsujudia mtu kisa yeye ni kiongozi?
Funguka tumia akili kujitafutia
 
Mzungu bila shaka sasa hivi atakua anajutia kauli yake ya kujipendekeza kwa tajiri,hii tabia ya ukinyonga na kuropoka ropoka ni mbaya sana.
Bashite hana lolote zaidi ya kuondoa haki ya kuishi kwa wanadamu wasiyo na hatia
 
Back
Top Bottom