Haji Manara popote ulipo au ukisaidiwa na Yanga SC Wenzako mkinijibu haya Maswali yangu Muhimu nitashukuru

Huyu kabebwa na Simba baada ya kuondoka JERRY kwenye mpira ndioo manara kaonekana
 
[emoji95][emoji95][emoji817][emoji817]
 
[emoji16][emoji16] duhhh kwaiyo Mzee kikwete na mzee manara ndio awaipendi yanga? ayo maneno manara aliyaongea kama unabisha tunakiwekea ja clip kabisa akiyatamka mimi ni yanga damu damu ila uyu jamaa amevuka mipaka mpira wa kistaarabu umemshinda
 
[emoji16][emoji16] duhhh kwaiyo Mzee kikwete na mzee manara ndio awaipendi yanga? ayo maneno manara aliyaongea kama unabisha tunakiwekea ja clip kabisa akiyatamka mimi ni yanga damu damu ila uyu jamaa amevuka mipaka mpira wa kistaarabu umemshinda

Hujasoma fasihi simulizi mkuu? Hujui kwanini akiwa exclude jk na baba ake? Nilisha ongea mara nyingi sana hiyo or do u want me to repeat?
 
umeuliza maswali mengi bt mi najibu la 1&2

ronaldo na mess wamechezea timu kubwa dunia bt wao wamekua maarufu zaidi kuliko wachezaji wengine kwa sababu ya upekee wa vipaji vyao.

taasisi husaidia kukuza brand bt upekee wa kipaji humfanya mhusika kujijengea dunia yake ktk jambo husika.

jiulize, wasemaji wangapi wamepita simba & yanga bt why hawajawa maarufu kama manara? jibu baki nalo mwenyewe.
 
Siku zote kilema anajiona yeye yupo juu kuliko mtu yeyote, na ukimfanyia lolote ataona unamuonea! Wenye akili zao wanamtambua
 
Leo ndo nimeelewa kwanini wanakuita POPOMA
 
CHUKI ZA MBUMBUMBU FC

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Ikiwa hivyo basi kila mwana yanga tutasema anampa kichwa manara. Sio sahih kuweka dhahania eti kisa kiongoz fulan ni mwanachama bas anampa jeuri.
Wao pia wanajua ishu za mipira hazingiliw na siasa.
 
Hoja namba 5 nzito mno kaka, ki ukweli amekosea lakini kama alivyotaka apewe hiyo nakala ya hukumu aangalie namna ya kukata rufaa.
 
Brand au alikuwa mwizi na tapeli kabla ya Mo kumuibua na kumleta msimbazi
 

Attachments

  • IMG-20220725-WA0006.jpg
    26.3 KB · Views: 3
Alipokuwa simba alikula adhabu kutoka kwa tff ya malinzi
Na utawala wa karia uliopita alipigwa faini ya mil 5 na onyo kali Mo akamlipia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…