Hakika wanaume wenye tabia kama ya Messi tumebaki wachache sana

Kupanga ni kuchagua,wanaume mnaweza kuwa loyal mkiamua...

Suarez pia nilisikia mke wake wameanza mahusiano tangu enzi na enzi
Huko mbele ukiwa na mpunga mwingi, na maarufu swala la wanawake inabidi uishi nao kikatili,Sheria inawasikiliza na kuwalinda ,unaweza kuhukumiwa leo hata kwa kosa ulilofanya mwaka 1970 ,rejea R.Kelly ,Billy Cosby na wengineo,

Neymar walimkosakosa hapa katikati,Dani Alves yuko nyuma ya Nondo na msururu unaendelea,
Mazingira yanacommand Nidhani,

Ingawa hizi issues naona wanapigwa nazo sana watu weusi ,kwenye haya mambo GENIUS wetu ni ASHRAF HAKIMI,ndo mkali wa hizi kazi
 
Safi sana. Natamani kurudi huko,lakini nimeshachelewa. Tayari nimepita nao sana.
 
Unafikiri walitunga hizo sheria bila kufanya utafiti wa kina wa chanzo cha wanaume wengi kuwa na wanawake wengi?
Tafiti gani ilifanyika na inaitwaje, hao ni wachache walitengeneza mazingira ya kujimilikisha wanawake. Kama walikuwa na utashi unaousema mbona kuna baadhi ya mambo ni ya hovyo kabisa na ni hao hao waliyaweka?
 
Tafiti gani ilifanyika na inaitwaje, hao ni wachache walitengeneza mazingira ya kujimilikisha wanawake. Kama walikuwa na utashi unaousema mbona kuna baadhi ya mambo ni ya hovyo kabisa na ni hao hao waliyaweka?
Broo,kama wewe kweli ni mwanaume kweli na umeoa,tokea uoe hujawahi kutoka nje ya ndoa??

Be honest
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…