Anonymous Caller
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 1,434
- 1,930
Brazil wako vizuri kwa sababu soka kwao ni kama sehemu ya utamaduni. Mbrazil haipiti siku bila kuwaza mpira na Wana practice tofauti na wachina na wahindi ambao wao wanawaza mambo mengine.
Mtu angekuwa anazaliwa na uwezo fulani basi kungekuwa na wahindi footballers wakubwa, wahadzabe footballers wakubwa duniani, wachina footballers wakubwa
Je ni asilimia ngapi ya watu vipaji vyao vimejulikana?Kila mtu anazaliwa akiwa na uwezo wa asili wa kufanya mambo kwa ustadi wa kipekee unaomtofautisha na watu wengine. Uwezo huo ndio unaitwa Kipaji.
Kipaji kina kawaida ya kutoa msukumo mkali sana wa kutenda yahusianayo na Kipaji husika. Kwa mfano, kitendo cha wewe kuanza kutafakari kuhusu michoro(uchoraji) kinatokana na msukumo unaosababishwa na Kipaji cha uchoraji kilichopo ndani yako. Asiye na Kipaji cha uchoraji hawezi kufikirifikiri kuhusu michoro(uchoraji) kama ufanyavyo wewe(Hana huo msukumo ndani yake)
Hata hivyo Kipaji ni kama Mbegu kinapaswa kumwagiliwa(kuendelezwa) ili kioneshe ubora wake vinginevyo hufifia.
Kujibu by exact % ni ngumu(but ni %kubwa kwa sababu Kipaji hakijifichi,lakini Vipaji vinavyoendelezwa ni vichache sana,vingi vinatelekezwa)Je ni asilimia ngapi ya watu vipaji vyao vimejulikana?
Mimi huwa nikijitazama sioni chochote..
Lolote nafanya kwa depth ileile as far as kipo ndani ya umri
Wala usijali chochote maana hakuna kitu kinachoitwa uwezo wa kuzaliwa nao au kipaji.Je ni asilimia ngapi ya watu vipaji vyao vimejulikana?
Mimi huwa nikijitazama sioni chochote..
Lolote nafanya kwa depth ileile as far as kipo ndani ya umri
Ukiacha ulevi nachora hatari shindikanaa 😆Hivi min -me una kipaji gani shindikanaa, ukiacha ulevi?
Na wewe dipresheni Half american ukiacha kamba, una kipaji gani?
Na talanta jeHicho kitu hakipo. It's an optical illusion.
Haipo pia.Na talanta je
Upo sahihi kbsa mkuuVipaji vipo mkuu, kuna watu kwa namna walivyozaliwa, miili yao inawapa urahisi wa kufanya jambo fulani kwa wepesi kuliko wengine.
Kama huyo Hussein Bolt, ni jamaa ana ngoroko ndefu, Steve Nyerere hata atrain vipi uwezo wa Bolt hatafikia. Hiyo kuchora tu wewe umejifunza lakini kuna wengine tangu udogo wao hahangaiki kuchora na hajajifunza wala kufunzwa na mtu.
Vipaji vipo mkuu, kuna vitu wewe hutaweza kuvifanya hata ukijifunza kwa muda ila wapo wanaovifanya pasi na mazoezi.
Kukataa ni hiari yako ila ni kitu ambacho kipo, kuna watu wana uwezo wa kujifunza kitu kwa haraka na wepesi mno tofauti na wengine ambao huhitaji kuchukua muda wa kufanya sana mazoezi halafu wewe unasema hakuna kipaji.Hakuna anayekataa practice lakini mimi nakataa kipaji.
#hakuna kipaji.
Sasa mkuu uwepo wa vipaji unakatisha vp wengine tamaa? Kuna watu wana vipaji ila hawajafanikiwa kama walivyofanikiwa wasio na vipaji.Wala usijali chochote maana hakuna kitu kinachoitwa uwezo wa kuzaliwa nao au kipaji.
Kipaji ni moja ya nadharia ya zamani ambayo ni ya uwongo na ya kukatishwa watu wengine tamaa na kiwakweza watu wengine.
Binadamu anaweza akafanya kitu chochote akiweka jitihada na akili yake.
Cc Kiranga
Kwa nini wajifunze kitu kama wamezaliwa na hicho kitu.kuna watu wana uwezo wa kujifunza kitu kwa haraka na wepesi mno tofauti na wengine ambao huhitaji kuchukua muda wa kufanya sana mazoezi halafu wewe unasema hakuna kipaji.
Shida ni kwamba nyinyi mkiambiwa mazoezi mnafikiria kuhusu physical exercise (kuvuka jasho).Sasa mkuu uwepo wa vipaji unakatisha vp wengine tamaa? Kuna watu wana vipaji ila hawajafanikiwa kama walivyofanikiwa wasio na vipaji.
Ni kweli mtu anaweza akafanya analotaka kufanya na kufika na kufanikiwa akiweka jitihada na akili yake, ila je unataka kusema kila mtu anaweza kuwa kama Messi,Ronaldo,Michael Jackson n.k ila tu watu hawajawekeza akili na jitihada?
Ukweli mtupuUkitumia ubongo vizuri kitu chochote unaweza kuifanya kiuwepesi shida ni kwamba watu wengi hatuamini kuwa Kila kitu kinaanza na idea kabla ya tendo halisi.
Watu wengi wanaoshindwa ni wale wanaoamini katika kufanya kitu pasipokufikiria kiundani kwa mfano Leo hii kutokana na ukuaji wa say si na teknolojia watu wanasumbuliwa sana na mental laziness yaani mtu hata hesabu ya kujumlisha anakimbilia kwenye kalkuleta.
Factukweli kabisa ukiamua kukaza hakuna kitu hauwezi kufanya hapa duniani .
Hata mathematics haina ugumu wowote it is jut a number Ila watu wanaogopeshan mwisho wanapata F
So everything is possible Consistency kujituma n.k unaweza kuwa yeyote
Hii ndo logic kubwa Sana mkuuMkuu usikubali kuambiwa mtu anazaliwa akiwa na uwezo wa kuchora wakati kuchora kwenyewe kuligunduliwa baada ya binadamu kuwepo duniani.
Eti mtu fulani amezaliwa na kipaji cha kuendesha gari kwa Kasi wakati gari lenyewe linegunduliwa juzi.
Sasa jiulize wale watu waliozaliwa miaka ya 1600's hapa Tanzania wakiwa na kipaji cha kuendesha gari walifanyeje.
Waafrika tunakubaliana kirahisi na kile kinachosemwa na wazungu bila kutafakari. Hatutumi akili zetu ndiyo maana tunakubaliana kirahisi na Kila kinachosemwa na watu weupe.Hii ndo logic kubwa Sana mkuu