Hakuna watu wa ovyo kama wakosoa imani za wengine hapa JF

Yah ilibidi wakristo wapeleke watu kuisoma Quran ,vitabu vya Hadith vikatafsiriwa

Waislamu wakazidiwa wakaweka mpira kwapani, mihadhara ikapigwa marufuku enzi za JK, imerudi juzi juzi

Nakumbuka tukiwa Mlandizi ,tuliwapelekea moto waislamu,

Tukiwabatiza ,wakaenda kuleta polisi wakaja na defender

Awali Hawa jamaa walikuwa waisoma biblia kwa njia hasi, halafu wakristo hawawezi kuisoma Quran maana ni kiarabu hata vitabu vya Hadith ilikuwa kiarabu

Mpaka Leo wanawalaani waliotafsiri Quran hasa Baruan kwa kiswahili, walikuwa wanazinunua ili zipotee ,vitabu vya Hadith navyo hivo hivo


Kwasasa ngoma ishakuwa ngumu kwao maana kama Hadith tunazo kwa kiswahili , Quran tunayo ya Farsy, Baruani n.k
 
Waislamu wanaonewa sana humu. Wanatupiwa kashfa na matusi ya nguoni. Watu hawajui jinsi ya kufanya midahalo yenye afya.

Naamini ipo siku atatokea muislamu mmoja humu mwenye uelewa mpana na ataweka kila linalotakiwa sawa.
Kobaz ni wafia dini zaidi kuliko Wagalatia, wako hypersensitive na wana overeact sana dini ya Allah ikitomaswa na "makafiri' ndio maana raia wanapenda kuwachokonoa waone meltdown yao๐Ÿ˜
 
Sahihi kabisa ,Ukristo hautegemei Quran au uislamu ili usimame na kuaminika

ila wao wanaisoma biblia kwa njia hasi ili kuwa tapeli wakristo na wasiojua maandiko

Tutawajubu mpaka waache huo UPOTOSHAJI wao
 
Ulichokikemea unakiendeleza hapa.
 


Low IQ
 
Hiyo zulu?Makonde?
 
Kwanini unaandika uongo kijana ? Mbona mnaongepewa makanisani na hamchukui hatua ?

Au unaandika usichokijua au umekusudia kupotosha ?

Nyinyi mngekuwa kweli hamkubali kuongopewa, leo hii Ukristo usingekuwepo.
Ubishi huwa unaanziaga hapo. Wewe unaamini walio kwenye Imani ya kikristo wanaongopewa, wao wanaamini walio kwenye uislam ndio wanaoongopewa.

Nirudi kwako, unaamini walio kwenye uislam hawaongopewi? Sheikh anasimama msikitini anasema peponi mwanaume wa hali ya chini anapewa mabikra watatu, bikra za wanawake zitakua zinarudi kila baada ya tendo.

Unataka kuniambia huo sio uongo? Kwa Hali ya kawaida kabisa unaamini peponi watu watazawadiwa mabikra?
 
Je unakumbuka kisa cha Wasabato waliowahi kupiga kambi airport wakitaka kusafiri kwenda ulaya bila tickets wala visa?
 
Je unakumbuka kisa cha Wasabato waliowahi kupiga kambi airport wakitaka kusafiri kwenda ulaya bila tickets wala visa?
Nakikumbuka vizuri sana. Walikua wakjiitwa wasabato masalia

Hoja yangu kwa kisai ilikua yeye asifikiri kwenye uislam hakuna uongo. Watu wanaongopewa.
Pastor Tony kapola anawaambia waumini wake alipuliza gesi ikajaa, mtu wa akili timamu anaona kabisa huu ni uongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ