Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,230
- Thread starter
-
- #441
jaman ben ni mnafiki nakushauri acha siasa za maji taka zitto si size yako kashakutakungulia sana mnaharibu chama chenu kwa kuharibu image za viongozi wenu
Ndio shida hiyo, mkishauriwa mnaanza kuzushia watu. Timua masalia ndio kitu sasa hapa? Wewe endelea na kazi yako ya kuwamaliza, najua utapata mgao wako vizuri tu, ndio siasa za bongo hizo!!
mnafiki yeyote ni hatari
Ndiyo CCM ni waroho mno wa madaraka hawataki kuyaachia wako tayari kuua, kung'oa watu kucha na meno ili wasipokonywe madarakaBen saanane, unaonekana unayajua mambo haya kwa undani sana.Maelezo yako yanatisha kwa kweli, ni mara chache sana mtu anaweza kusema yupo tayari kupigana hadi tone la mwisho--tuliwasikia watu kama Gadafi, na kweli walisimama hadi mwisho na wakauawa.Maneno hayo pia hutolewa na watu wanaojitoa muhanga kwa imani za kidini. Hii Extremism uliyoionyesha, inatia wasiwasi, nadhani unajua upo hatarini,Liwalo na Liwe! Ila chonde chonde fanyeni michezo yenu yoooote, ila msitupeleke kwenye machafuko,...umasikini tulionao unatutosha!
Hii 1% ya wenye uroho wa madaraka ....itatuzamisha wote tusipokuwa makini
Mkuu Misterdennis, naamini ile sumu ya panya aliokutwa nayo, lengo lake halikuwa kuulia panya, mtu asingehaha vile kuitafuta wakati mji mzima "sumu ya panya" zimetapakaa, unless hadith nzima ya "sumu ya panya" ni ya kutunga!.Pasco, hapo kwenye red.
Unasema ulikuwa humfahamu kabisa huyu Ludo, lakini uliposoma tu kwenye gazeti la Jamhuri, (linaloandikwa na Manyerere aliyekuwa anashabikia kwamba Ludo akamatwe) habari zake, tayari haraka-haraka umekubali kuwa yaliyoandikwa na hilo gazeti ni kweli tupu bila chenga, na yamepelekea wewe kufanya conclusion kwamba "the guilty are afraid"!!
Mkuu Josephine, kama hata wewe unaamini natetea kula yangu!, then...Pasco ,
upande wangu najua unatetea kula yako.
my brother,kaa mbali na ushabiki,japo najua unaweza kuwa moja ya watu wanaojua haya,kwani si ninyi ndiyo mnahusishwa.
hivi we saanane unadhani wewe ukiondoka chadema na zitto akiondoka nani ataondoka na mamilioni?mnavyodhani kuhusu zitto sio kabisa,ni mhimili mkubwa na mjenga hoja muhimu bungeni na nje ya bunge. endelea kutuharibia chama chetu.mambo ya masalia yalishaisha bado unaendelea na upuuzi huu.
upuuzi ni kufanya kitu uku ukijua madhara na kuendelea kufanya
Mkuu Josephine, kama hata wewe unaamini natetea kula yangu!, then...
Kwa heshima yako, nareserve my comments.
Thanks.
Pasco.
Mkuu Pasco,umeamua kufunika kombe mwanaharamu apite?Mkuu Josephine, kama hata wewe unaamini natetea kula yangu!, then...
Kwa heshima yako, nareserve my comments.
Thanks.
Pasco.
Mkuu Mingoi, kama unamheshimu Adamu, lazima umuheshimu Eva, hata kama atakuvunjia vipi heshima, kwa ajili ya Adam, utaendelea kumheshimu tuu na ndicho ninachofanya, heshima mbele!.Mkuu Pasco,umeamua kufunika kombe mwanaharamu apite?
Nimekusoma Mkuu,kwani hata waswahili wana msemo wao kuwa "ukitaka kujua mcharuko wa jini mchokoze kiti wake".Mkuu Mingoi, kama unamheshimu Adamu, lazima umuheshimu Eva, hata kama atakuvunjia vipi heshima, kwa ajili ya Adam, utaendelea kumheshimu tuu na ndicho ninachofanya, heshima mbele!.
Pasco.
Heshima ya kweli, haihitaji kubagua, heshimu wakubwa, wadogo, tajiri, masikini, wanawake, wanaume, wanasiasa, wanachama, viongozi na raia wa kawaida!. Ukimheshimu mtu, lazima umheshimu na mkewe!. Waswahili husema, Mke wa Baba yako ni mama yako! no matter what!, huyu ni mama yetu, wether ita materialise or not, ndilo chaguo la baba yetu, hivyo heshima mbele!.Mkuu Pasco bora ureserve comment yako ili kujitunzia heshima, maana huyu mama hana uwezo wa kuongea na mtu anayejiheshimu na anayejua mambo kama wewe. Saizi yake ni kina Saanane na waropokaji wengine.
Inakera sana mtu uliyekua unamheshimu kama huyu mama kuongea vitu vya ajabu na kukera kama hivi, ama ni Captain Morgan anaemsaidia kuzungumza?
Nakuheshimi sana Pasco.
Heshima ya kweli, haihitaji kubagua, heshimu wakubwa, wadogo, tajiri, masikini, wanawake, wanaume, wanasiasa, wanachama, viongozi na raia wa kawaida!. Ukimheshimu mtu, lazima umheshimu na mkewe!. Waswahili husema, Mke wa Baba yako ni mama yako! no matter what!, huyu ni mama yetu, whether ita materialise or not, ndilo chaguo la baba yetu, hivyo heshima mbele!.
Pasco.