Hilo lilikuwa swali. Unaona hapo kuna kuamini? Hii alama ? Maana yake ni SWALI. Anyway, isahau habazi nzima kiaina.Usiamini kila unachokiona ndugu.
hiyo ni lazima, na watasemana tu,si unajua kipigo cha polisi wa bongo. Jamaa wanapiga huku umewekwa kwenye life support ili usife.Kuna haja ya kukichunguza tena kifo cha CHACHA WANGWE.
Sikujua kama Super double agent kumbe nao wakibanwa huwa wanakimbilia kutaka sympathy huku wakitoa amri kwa wengine kuwasaidia.
Kumbe kila mmoja CHADEMA ana uwezo wa kutoa AMRI, au kazi ya mkuu wa kitengo cha ulinzi na usalama ameishapewa kwa sababu paragraph hii ina amrisha RED BRIGADE na siyo kuwaomba.
nyoka akiingiza tu kichwa ndani ya shimo pangoni huwa ni kazi ngumu kumtoa kwa kutumia mkia wake, lakini ukiweka kizinga cha moto, anafurumuka mmoja baada ya mwingine.
Kizinga cha moto cha Lwakatare kimeanza kuwatoa nyoka pangoni, mmoja baada ya mwingine.
Tutaona na kusikia mengi.
Naona unajifanya umesahau waliomuua Mwangosi. Unaona aibu video ingekuumbua umeamua kuwataja wale ambao hakuna ushahidi wa picha?HahahahahahahahahahahhahahhahahahahahahhahahahahahahahahahahahahahahahahahahAhahHhHahahHahahahahahahahahahahahahahahahahhahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahki
kicheko hiki kiwafikie wale wote waliopanga na kutekeleza mauaji ya ras chacha wangwe, mateso ya ulimboka, kibanda, kumwagia asidi igunga na kuuwa morogoro, siku zenu zinahesabika...tik tok tik tok
kuhusu ukomntho we sizwe naunga mkono.
the preemptive defence mechanism at eleventh hour, won't help much!,
Kamanda Saanane usihofu wala usivunjike moyo maana chama hiki kinasimamiwa na Mungu so dhuluma zote zitajitenga na ukweli na mwisho wa siku kila kitu kitakuwa wazi hadharani. Cha msingi sana ni kumuomba Mungu kwa nguvu zote na hawa wadhalimu watapuputika kama majani ya mtini. Mungu ibariki CHADEMA na viongozi wake wanaosimamia UKWELI, Mungu ibariki Tanzania na watu wake. Na Mungu ninakuomba uwaaibishe viongozi wote wanafiki na wasaliti walioko ndani ya CHADEMA kumbe wanakitumikia CCM na vyombo vyake ikiwemo Usalama wa Taifa wa ccm na Ikulu.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Mbona Juliana Shonza hajapost humu kwa muda sasa?
Huwa napenda sana swagga zake.
Yeye huja na kuanzisha sredi halafu huyo anasepa anawaacha mnararuana na kuparuana hapa.
Kale kamdada bana. Katata sana.
Mungu yupi huyo ambaye ameamua kuwa Chadema chama upinzani.
Nakushauri tungeanza na uchunguzi kifo cha hawa wafuata😵MAR ALI JUMA,HORACE KOLIMBA,EDWARD SOKOINE,KIGOMA MALIMA,MWL.NYERERE NA IMARAN KOMBE.Kuna haja ya kukichunguza tena kifo cha CHACHA WANGWE.
Mungu yupi huyo ambaye ameamua kuwa Chadema chama upinzani.
Sio vibaya Ben akajibu maswali ya nayoumiza kichwa watu hapa
Unamfahamu Ludovick?
umewahi kukutana nae?
ni mwana CHADEMA mwenzio?
Ndio nia ya ajuza CCM na mtawala Jakaya Kikwete na usalama wa taifa kuhamisha mada za uhai wa taifa kwa mambo ya kipuuzi unaambiwa kikwete anampa mikataba 16 ya kutupwa Raisi mpya wa china
Mfalme wa oman yeye ameuziwa visiwa na mbuga na mabode jumla ya mikataba 21
mfalme wa saudi arabia ameongezewa na kuwanunua wamasai na wanyama wote ngorongoro
Barick gold wameongezwa miaka 25 sasa wanachimba chini kwa chini na kuifika Tarime nzima bila kodi yeyote
wafaransa kawapa mafuta lake tanganyika
sisi tumekazana kuongelea propaganda za akina zitto na akina msacky