Hali ya ndugu yangu imezidi kuwa mbaya naombeni msaada wa tiba

Wangapi waliwahi kupona kwa hiyo dawa?
 
Denial hii-inaonekana hili tatizo lipo kwenye familia, hata wewe ni suala la muda tu.
Very Poor insights
Unamaana gani kusema hivyo mkuu, yaani hili tatizo la kuzuka ghafl ukubwani ndiyo unasema lipo kwenye familia?
 
Mkuu hali ilivyo siyo ukichaa kabisa huu
 
Kumbe tatizo unalijua kuwa anavuta bangi na bangi ni haramu, hiyo bangi ndugu yako ameranduka, mpelekeni "sober house".
Vijana wengi wangeranduka kama huyu ndugu yangu lakini huyu kuna namna siyo kichaa cha kawaida
 
Kama kweli upo serious na unaamini kuwa amechezewa, mpelekeni huyo mgonjwa wenu Kibamba kwa mtumishi wa Mungu anaitwa mama Sozigwa, akamfanyie maombi. Mpigie kwa 0769232718 mtapata majibu ya kwa nini anafanya hivyo na nini kifanyike ili apone.
Asante sana mkuu kuna tiba ameanza jana haitakuwa busara kuchanganya mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…