begi la pesa
JF-Expert Member
- Apr 11, 2019
- 1,833
- 2,878
ni witch doctorHuyu ni daktari au?
Hapo bungeni ndio yamejaa mazezeta ambayo hata mikataba hayajui Kusoma kazi kusema tu ndiooo!!!Safi kabisa malizia _Dodoma kwenye Bunge!
Kila siku unalalama humu mpelekeni milembe.Guys huyu kaka yangu aliyechanganyikiwa amemdhuru mama pamoja na baba kawajeruhi vibaya jamani naombeni mwenye kujua mtaalamu plz kwa hapa tulipofikia anaweza hata kumuua mtu akishika kisu.
Yaani ni shida tupu!Hapo bungeni ndio yamejaa mazezeta ambayo hata mikataba hayajui Kusoma kazi kusema tu ndiooo!!!
Asante mkuuKila siku unalalama humu mpelekeni milembe.
Otherwise atawauweni fanya mmpeleke DODOMA MILEMBE Ama mpelekeni JELA akakae japo miezi sita atapata mafunzo.
Asante sana mkuuPoleni sana Mungu awapiganie kwenye hiyo changamoto.
Kama hospital ipi mkuu?mnunulieni haloperidol mmpe vidonge 2,asubuhi,mchana saa7 na saa mbili usiku atakaa vizuri,mara nyingi stress za maisha ndozina sababisha hayo.watanzania washakuwa machizi fresh ila hawajitambui tu na itakuwa njema mkimpeleka hospitali za wenye matatizo ya afya ya akili atakuwa sawa tu
Duh! Sasa mkuu unanishaurijeMwamposa TAPELI tu. Mwezi Machi kaaguliwa na mama yake mzazi, karuka na ndege hadi Ujerumani kumtibia.
Halafu nyie mkuugua mnataka awaombee
Asante sana mkuu tutafanya hivyoEwe binti sayuni kama nyie wote kwenye familia mmekubaliana kwamba sio kichaa bali kachezewa sasa mnangoja nini kumpeleka sehemu inayofaa ( kanisani) au mawazo yenu ni kutafuta waganga wa kienyeji and if so hapa JF utatapeliwa tu,huko huko ulipo ulizieni mpeleke though kuweni makini waganga wa siku hizi ni MATAPAPELI waliochangamka
Asante nakuja sasa hiviUnataka msaada wa dhati upo serious njoo inbox
Pelekaa Kwanza mirembee akatulizwee na kuchekiwa afya ya akilii,,,...Wala siyo kichaa ndugu yangu huyu kachezewa
Peleka Mirembe Mental Health HospitalDuh! Sasa mkuu unanishaurije