Hali ya ndugu yangu imezidi kuwa mbaya naombeni msaada wa tiba

Guys huyu kaka yangu aliyechanganyikiwa amemdhuru mama pamoja na baba kawajeruhi vibaya jamani naombeni mwenye kujua mtaalamu plz kwa hapa tulipofikia anaweza hata kumuua mtu akishika kisu.
Mpeleke hospital kashakua mwehuu huweziii kupambana na mtu kama huyooo...mtauliwaa woteee na kesi hakuna
 
Tupo Dar huko mirembe si ni Dodoma?
 
Mim naona kama unaleta masihara ningekukonekt na msaada ..ila sikuamin vile naangalia mfululizo wa mada zako ni za masihara masihara ...kama kweli nitumie video ya huyo ndugu yako akiwa katika Hali hio unayosema.
Yaani mtu anaumwa umchukue video hapana hii siyo sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…