Hali ya ndugu yangu imezidi kuwa mbaya naombeni msaada wa tiba

Sawa mkuu
 
Yupo mganga mmoja ila sina hakika kama anawatibu kweli, wakati naendesha tax mtandao kuna mtu alinikodi nikampeleka ni bagamoyo ila hufiki mjini sehemu inaitwa kiromo kama sijasahau kuna shule ya kayumba kwa jina hilo ukimuuliza boda yeyote anakupeleka yeye anawatibu anafunga minyororo wanakaa hadi anapona nilimuhoji akaniambia mimi yaani yeye anawatibu na madr wanaendaga kumuhoji wanaponaje wakati wao wamewapa madawa na bado hawaponi, narudia tena sina hakika kama anatibu kweli ila kama yupo mwenye ushaidi atuletee humu
 
Nikupe namba ya mchungaji aje kukuombea nyumbani .... Nambie location (mtaa uliopo na kata)
Maana kanisani kwetu Kuna wachungaji wanaosimamia kata na Kuna Wana maombi wa mitaa .

No sadaka au malipo.
No chumvi.
No matumizi ya maji .

Just jina la YESU .
 
Nimecheka Sana
 
Guys huyu kaka yangu aliyechanganyikiwa amemdhuru mama pamoja na baba kawajeruhi vibaya jamani naombeni mwenye kujua mtaalamu plz kwa hapa tulipofikia anaweza hata kumuua mtu akishika kisu.
Aende milembe huyo hatakiwi kukaa hapo atawaua.
 
Asante mkuu ngoja nisubiri ushuhuda hapa
 
Asante sana mkuu ntakutafuta
 
Duh! Pole kwa hali ya brother natumai mtapata tiba yake na sio kitulizo tu. Mfanye haraka kabla hajafanya madhara makubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…