Haji Manara ameonesha utovu wa nidhamu wa hali ya juu! Anamwambia CEO akome!! Kwenye taasisi yoyote CEO ndo kila kitu! Unamtukana CEO hadharani unategemea nini? Manara ameifedhehesha sana simba!! Hata kama CEO akiwa na makosa hiyo siyo namna ya kushughulika naye. Siwezi kushangaa kama Manara akimtukana baba yake! Hana adabu!! Ni aibu kwa baba yake pia!!
Nashauri awekwe pembeni kwa siku 7 apate muda wa kutafakari! Asiambatane na timu kigoma!! Baada ya siku saba 7, amwombe radhi Barbara hadharani. Kisha kama ana malalamiko yoyote ayawasilishe kwa uongozi. Akishindwa hilo aende zake!! Mchango wake kwa simba tunautambua lakini ameamua kunyea kambi!