Hatimaye ndoa yangu imevunjika

Kilimahewa sehemu gani mkuu?
 
Yaanii ukisomaga threads humu unajisemea kumejaa wavulana. Unakuta wanajifaraguaaaaaa utasema Malaika Mkuu na kopo lake[emoji23] sijui Gabriel sijui mikael sijui nani. Yaan wanaharisha kwlei ili wapate support. Yakiwarudi baasiii ndo hivi..
Humu wanaume huwa wanadaganya Sana na ukibeba la kubeba bila kychaganya na za kwako utalia mwenyewe familia ikishakushinda, na ni vinara wa kulaumu wanawake humu sana
 
Swala si fedha, unaweza kutafuta fedha na ndoa yako haina furaha na amani, amwombe mungu ampe mke mwema
 
Umemjibu kistaarabu sana, ningekuwa mm ningempa jibu ambalo lingemfaa kabisa.
 
Humu wanaume huwa wanadaganya Sana na ukibeba la kubeba bila kychaganya na za kwako utalia mwenyewe familia ikishakushinda, na ni vinara wa kulaumu wanawake humu sana
Eeh, yaan kama hujachanga na zako umeisha. Jueni mbinu zenu za kizamani wanaume zimepitwa na wakati. Sema KARMA iheshimiwe sana. Inakujaga muda hata hutegemei na hujajiandaa. Ukiwaona wanavyotukandia na kutusimanga sasa.. mxieew.
 
Mbona hata nyie wanaume huwa mnaongea madhaifu ya wake zenu majumbani ni nadra mwanamke kutaja madhaifu ya ex wake
Sisi huwa hatusemi yaukweli. Huwa tunatumia maneno matamu kwako ya kukuvutia wewe mchepuko ili uingie king. Mengi ni ya uongo.
 
Swala si fedha, unaweza kutafuta fedha na ndoa yako haina furaha na amani, amwombe mungu ampe mke mwema
Sasa ukae na familia yako huna hata kumi mnaishije sasa, wanaume tujitahidi kutafuta maana hata mwanamke anaweza kukuvumilia kwa miaka mingi sana akachoka na wewe unaona ni kawaida, sio lazima uwe tajiri ila pesa ya kuwafanya mkaishi maisha standard na familia yako ni muhimu sana
 
Pole sana ndugu yangu pole Mungu akusaidie kwa hilo. Ni week ya pili toka niachane na mpenz wangu nliyeweka malengo ya kumuoa nmeumia mno lkn hili lako ni zaidi pole sana hapo hapo ulipo simama Kikubwa walee wanao tu kwa huu muda wapate mahitaji ya msingi zen Mungu atakuwezesha kumpata atakayekupenda kiukweli usaliti ni mbaya sana.
 
Ogopa sana technology hahahaha umefukua makaburi mkuu, kumbe jamaa analelewa mke wake ana maduka ndiyo yalikua yanamlisha mbaya zaidi anachepuka, huyu jamaa nimemdharau sana mjinga
 
RevengeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Jamaa angu mmoja kipind tunaishi nae mtaani nae alkua mwalimu katafuna sana mabinti wa watu na anajisifia.

Bahat mbaya mungu kamtunuku mabint 3 na dume 1.

Hao watatu hakuna alievuka form 4, wote wamepigwa mimba wamezalia nyumbani kwake.
Karma is a real bitch.....
najichunga sana nisiwe muovu
 
Pole.sana ndoa zikitibuka na kushindwa kurudia utulivu huo ndiyo mwisho wake.
 
Sisi huwa hatusemi yaukweli. Huwa tunatumia maneno matamu kwako ya kukuvutia wewe mchepuko ili uingie king. Mengi ni ya uongo.
Unafikiria sisi huwa tuna buy huo uongo sie Lengo huwa hela na pleasure tunayopata basi aisee.
 
Umetapikwa bara bara....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…