Haya matukio yamenifanya nijitafakari upya tabia zangu

Kuna jirani yangu nae Dingi flani hivi nae alikuwa akiishi kivyakevyake tulimkuta amekata moto na tuligundua siku ya nne...kuishi alone ni tatizo kubwa.
Tatizo hasa lipo wapi? Naomba kujulishwa, maana hapo nature still took it course mlichoshindwa kupata ni habari kwawakati tu, ambayo hiyo still isingemsaidia huyo mzee. Kutulia peke yako kunaamani na utulivu fulani ambao hata ukirudi likizo baada ya mwaka still bado unaitamani kuirecreate ukiwa hukohuko likizoni maana social life inakera na it's very annoying. Sio kila mtu anapenda maongezi au kelele.
 
All things considered.. Sijawahi kuwa na tatizo na wewe from the first day... Tunaweza anzia hapo ila lazima nijihoji nia yangu na energy kama ninayo ya kufanikisha hili. Okay okay... Mdogo mdogo si ndio????
I'm crossing my fingers and eagerly waiting for this to happen 😘😘 But how Mdogo Mdogo.?? Nisije subiri for weeks
Those are part and parcel of life Deaf Gal, Enjoy her presence to the fullest. We die once we live forever
Ni kweli siku ukiwa na mtoto utafahamu yote aliyokwambia mama, utajua how it feels, but..... if you won't choose to be an AS*🤣😉
I won't be or choose to be an Arse. I can't imagine myself to be such kind of Pope
 
Inasikitisha lakini mbona haiusiani na kukataa ndoa
 
Kwa leo ngoja tuishie hapa sawa? 😅 Nimefurahi kuchit chat with you.... Haya kila sehemh nikikuona kuanzia sasa nitakwambia nimekumiss, hadi upende na ujisikie kawaida kusikia hivyo.. How about that!
 
Kwa leo ngoja tuishie hapa sawa? 😅 Nimefurahi kuchit chat with you.... Haya kila sehemh nikikuona kuanzia sasa nitakwambia nimekumiss, hadi upende na ujisikie kawaida kusikia hivyo.. How about that!
I like to keep my hands on myself. Sio vitu viwe public, Just Us and our souls. If you won't care.😟
 
Narudia nafasi ya mke au mme kwenye moyo wa mtu haiwez kuwa replaced na kitu chochote kile au mtu yeyote yule
 
Hiv shida ni kufa ukiwa peke yako au kufa ukiwa na watu .. coz kufa ni kufa tuh no matter watu wajue au wacjue maana hamna kitu watakacho ongeza, kupunguza au kuzuia na pia ukiona mtu amefariki bac tambua huyo mtu ilitakiwa lazima afe tuh, hata kama kuna uzembe umefanyika kwenye kifo chake bac jua huo uzembe ndio sababu ya yeye kufa coz things happen for a reason
 
wakataa ndoa watakuja kupinga kwa hoja, hii pia ilitokea mtaa ninaoishi kuna mbaba wa makamo kama 45 ivi, yuko zake bachelor amerudi kula ghambe akarudi nyumban kwake akalala mazima,

ni mkali nyumban kwake hafikagi mtu yeyote, na hana ata ndugu anayemtembeleaga, alifia ndani kwa siku 21 yaan wiki tatu, ikajulikana baadae kabisa ameshaoza amebaki fuvu tu, nyama zilibaki kwenye miguu pekee. ata finye wenyewe hatukuwaona tena maana aliteketea kabisa mifupa tu within 21 days.

hakuna mtu aliyewajua nduguze, hakuwa na ukaribu na majiran.
 
Kujichanganya na watu muhimu sana, unapita kwenye kijiwe cha jamaa na wazee mnapiga story mbili tatu.

Kuna jamaa yangu nilipita mkoa anaokaa anajifungia ndani mpaka siku 3 hatoki nje. Akitaka kitu anachezea laptop,kuangalia movie netflix na Playstation. Siku ya kwanza akaniambia usitoke nikamwambia hiki kipaji sina ngoja niende town kucheki wadau
 
Kama kufa ni kufa chukua sumu unywe alafu ufe
 
Acha hiyo tabia mjukuu wangu. Haya i miss you
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…