Hayati Magufuli aliwezaje watoto wake kutojulikana kabisa hadi siku ya msiba?

Hadi Baba Jesca alikua censored hapa jukwaani. Baada ya kufeli lakini akapata Masters UDOM...wewe ulikua wapii
 
sio kila kitu cha kukanusha wewe inamaana chadema walipokituambia ridhiwani kikwete kakamatwa na dawa za kulevya china halafu alipotakiwa anyongwe baba yake akatoa gesi ya mtwara ili aachiwe huru hukuwepo?
Sijawahi sikia hilo, ila la james kuna mtu anaitwa Malulu niwa kanda hiyo alisema yule ni mpwa wa hayati na ni rafiki wa malulu wamepiga kampeni wote ili hayati ashinde, kuhusu jina la mama sijui!
 
Sijasoma ulichoandika.
Ila kw staili yake ya uongozi haikufaa wajulikane, wangeweza kudhuliwa na wapinzani wake. Alikuwa na maadui wengi sana hata ndani ya ccm achana na wazingu, wafanyabiashara, vyama pinzani majipu nk
 
Sijawahi sikia hilo, ila la james kuna mtu anaitwa Malulu niwa kanda hiyo alisema yule ni mpwa wa hayati na ni rafiki wa malulu wamepiga kampeni wote ili hayati ashinde, kuhusu jina la mama sijui!
Kumbe ni ya kuambiwa tu mkuu
 
Sijasoma ulichoandika.
Ila kw staili yake ya uongozi haikufaa wajulikane, wangeweza kudhuliwa na wapinzani wake. Alikuwa na maadui wengi sana hata ndani ya ccm achana na wazingu, wafanyabiashara, vyama pinzani majipu nk
Mbona watoto wa Kagame wanajulikana mkuu
 
Kwani unamjua doto james humu ndugu, kwani wewe yote unayoyajua uliota?
Nilitaka wewe uthibitishe juu ya hilo na umtaje walau dada ake Jpm mzaa Dotto maana ni kama unao uelewa kumhusu Dotto
 
Mbona watoto wa Kagame wanajulikana mkuu
Unalinganisga mkoa na nch.
Kagame ana maadui fani zaidi ya wanasiasa.
JPM aliwabip gadi wauza unga.
Wauza unga walishakula viapo vya kuua na kufa. Drug cartel ni hatari hawana akili.
Tanzania ni kubwa kuluko Rwanda, hawana resource za maana za kutamaniwa ba mabepari.
Uwazuie wazungu wasichimbe madini unategemea nini kama sio kuzikwa.
Unawajua CIA.
 
Ulichotaka kukieleza ili tuelewe, umebaki nacho kichwani kwako mkuu

Kwenye andiko hili, kuna kitu umeamua ukae nacho kwa sababu hapa haujatuelewesha vya kutosha kama akili yako ilivyosheheni uwelewa wa chapisho lako

Sawa mkuu
Ni kweli. Siyo mambo yote huelezwa, lazima uweke akiba. Mwisho wa maisha siyo leo.
 
Ndio kukosa akili huko kwa JPM, kwenye siasa you need strategy. Mfano angeweka front watu wengine kabisa kulikua hakuna haja yeye mwenyewe kushika mic na kutoa vitisho kwa wapinzani, wawekezaji, corona n.k Creating unnecessary drama. Ajifunze kwa JK alikua anatumia kina zitto kuwaondoa mawaziri asiowataka ma kuna wakati hadi nyaraka zilikua zinavujishwa makusudi ili mafisadi waondolewe na umma.

JPM hakujua siasa ndio kilimcost.
 
..Magufuli alikuwa fisadi, lakini sifa yake kubwa kuliko zote ilikuwa ni unyama na ukatili wake.

..sasa mnaoulizia ushiriki wa watoto wa Magufuli ktk utawala wa Baba yao, mlitaka kuwaona au kusikia watoto hao wakishiriki ktk utekaji na mauaji?
 
Aliwakaushia akina Zitto na Mbowe Kulamba asali mkafura sana

Safi sana Jpm wapinzani feki walitamani kuishi usanii wa Enzi za Vasco
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…