Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Aibu sanaSerikali inajichanganya yenyewe,huku inasema Tanzania ni Nchi ya Amani!Wakati huo huo kwenye majiji yake makuu,Dar, Mbeya,Mwanza,Arusha,watu wengi wamefunguliwa kesi za Ugaidi! Inasikitisha sana.
Tulia wewe muuajiHizo kelele za chura tu. Hili litasahaulika very soon
Jipige kifua sema nilikula adaUkiambiwa uthibitishenkaa ushahidi mzito bila maneno matupu imaweza?
Naona huku kuamka na kwenda kwenye mishe na hadi unalala sjwari, ndiyo kunawapa kiburi. Sababu hamjawahi kuionja shida ya machafuko ipo vipi. Hiyo pesa uako mfukoni au benki haitakusaidia kitu kama kukichafuka mnavyoombea
Wewe unayeandika ukiwa na kichwa nasema hivi: CCM na CHADEMA kaeni mezani muyajenge kabla ya KATIBA MPYA ambayo itawapa nguvu wananchi.Unaandika kama umekatwa kichwa kaka, vipi kuhusu familia za watu waliokufa, wanaobambikiwa kesi za ugaidi? Kwanini usifanye vitu fair ili kuleta umoja wa amani.
Anakupga ya korodani banaa ndo inanoga🤣Hii ndo ile unampiga mtu ngumi ya jicho, anakupiga ya sikio. 😊
Kwanza huelewi wewe unachozungumzia ni nini. Kuna "upumbavu" zaidi ya huo?Mpira na siasa zenu wapi na wapi, upumbavu huu mnataka kutuletea
Uhuru wa wananchi haupatikani kwa kumlinda mtu mmoja mmoja, lazima kujitoa mhanga.Yes tuwepe pembeni siasa. Alichokisema Heche sisi tunakichukulia kama tahadhari ktk uwekezaji wetu Arusha. Mana kwa mitaji hii mara Heche kafanikiwa kuzuia AFCON tutawalipa nini vibarua wetu na tuliowapa tenda ya kuzalisha bidhaa mbalimbali kwa ajili ya AFCON?
Nakusisitiza tena uwe unafanya utafiti, bahati nzuri mitandao inatunza kumbukumbu. Hata dk 20 tu zinatosha kujua Chadema walisema nini kuhusu hao mashekheWatu kushikiliwa kwa tuhuma za ugaidi haijaanza kwa Samia.
Mashekh wa Uamsho walisota kwa zaidi ya miaka 8 na wengine miaka mitatu na zaidi
Haya sasa kila mtu kwenu ni muuaji,kwa akili hiyo mtaolewa sana na wazunguTulia wewe muuaji
Heche amekazia tu, wenye utoto ni serekali.HECHE UNAFAIDIKA NA NINI? MBONA MAMBO YA KITOTO SANA.
Unataka "athibitishe" nini wakati serikali yenye dhamana ya kujuwa hali ya usalama wa nchi ndiyo inaitangazia dunia kuwa kuna magaidi Tanzania.Ukiambiwa uthibitishenkaa ushahidi mzito bila maneno matupu imaweza?
Naona huku kuamka na kwenda kwenye mishe na hadi unalala sjwari, ndiyo kunawapa kiburi. Sababu hamjawahi kuionja shida ya machafuko ipo vipi. Hiyo pesa uako mfukoni au benki haitakusaidia kitu kama kukichafuka mnavyoombea
Mnajichanganya wenyewe kwa kitojitambua kwani mnajitekenya wenyewe tangu lini maskini akajikomboa si ataendelea kuwa mtumwa tu huku analalamika kwa asiyoweza kufanya.Aibu sana
Kwahiyo mumeo magufuli alikuwa muongoHakuna Raia namba moja ambaye sio mzalendo.
Kwahiyo watu waendelee kukalia kimya ujinga wenu? Au mnadhani hiki ni kile kizazi cha wajinga?Sheria ya ugaidi ilitungwa enzi za Mkapa na Watz wengi tu wamesota rumande kwa tuhuma za ugaidi. Kila Rais aliweka ndani watz kwa tuhuma za ugaidi. So hakuna jipya kwa Samia
Sasa waziri wa mpira haingilii mpira? Anafanya kazi gani sasa?Hakuna waziri wa mpira kuna waziri wa michezo na hata wakiwa wanasiasa bado hairuhusu kuhusisha hiko
Mnaleta utoto, sasa mnaonyeshwa utoto wenu umefikia mwisho.kwani wao hawaoni au hawajui mpaka ajipendekeze kuwaandikia barua? Tukisema haitakii mema nchi yake tutakuwa tunakosea? Pambaneni ndani kwa ndani kwani mbona wananchi wameelimika na wanajua kinachoendelea.
kumbe unajua ukweli kuwa kuanzia 2019,2020,2024 na 2025 hakukuwa na uchaguzi hapo sina nenoUnajua fika hakukuwa na uchaguzi na pia wajua fika Arusha ni ktk ngome za CDM. Hivyo kuiondoa AFCON Heche hajui CDM wataathirika zaidi?