Heche: Tutawaandikia barua FIFA na CAF kuwaeleza Serikali imesema kuna 'Ugaidi' wasilete Watu AFCON

Huu upumbavu kawaambie wajinga wenzako huko Lumumba, puumbavu!

Kutwa kuwapa watu kesi uchwara za ugaidi. Hivi mnaujua ugaidi ninyi vichaa wa Lumumba!? Ushawahi kuishi kwenye jiji kama Mogadishu ambapo muda wowote mtu anajilipua kwa bomu mfano sokoni na kuuwa watu!? Takataka nyie.
 
Hivi ni kweli Heche hajui kwamba AFCON ikifanyika TZ wanufaika wakubwa ni vijana wa CHADEMA walioko Arusha ambako ni ngome ya CDM!?
Wewe hutumii akili yako kufikiri vizuri na kuielewa ujumbe wa John Heche na CHADEMA...

Na pengine hata hujui hata maana ya UGAIDI na athari zake...!!

Kumbuka UGAIDI ni INTERNATIONAL CRIME ambapo mara serikali fulani itangazapo kuwa kuna UGAIDI ndani nchi, haraka sana mataifa mengine yaliyowahi kuonja adha na madhara ya ugaidi hususani Marekani, Uingereza, Ufaransa na mengine hukaribia kuja kusaidia nchi husika kwa resources zote zinazotakiwa kwa sbb dunia inaamini kuwa UGAIDI kwa taifa Moja ni ugaidi kwa dunia nzima....

Kitendo cha serikali yako hii ya kijinga na haramu kutangaza kuwa Kuna UGAIDI, ni alert kwa mataifa mengine kuwa Tanzania sio salama. Si salama kwa watalii, kwa mikusanyiko ya michezo ya kimataifa kama AFCON nk...

Sasa kwanini nchi zingine zihatarishe usalama wa maisha ya watu wake kwa kuruhusu kwenda kwenye michezo ktk nchi ambayo ina MAGAIDI na UGAIDI kama Tanzania...??

Hili hajatangaza John Heche. Ni Samia Suluhu Hassan mwenyewe na genge lake la kihuni. Actually, alichofanya John Heche ni kuwarudisha kwenye mstari kwa kuwaambia CCM na serikali yao ya kishenzi kuwa mmejichanganya, mnajivua nguo wenyewe na mmebaki uchi, mna tarnish image ya nchi na taifa letu kimataifa kwa kutangaza kuwa tuna ugaidi wakati ni siasa zao tu za majitaka...!!

Hata hao vijana wa Arusha unaowaonea huruma si nao wako kwenye hatari ya kupigwa mabomu na kuuwawa na UGAIDI na MAGAIDI wa CCM na serikali yao..?
Halafu nishike madaraka nimwahe msenge kama huyu,
Ndio maana hujashika kwa kuwa wewe ni kweli "msenge" na unaweza wasengea watu wengine. Na nakutangazia kuwa hutashika madaraka yoyote yahusuyo kulinda utu na maisha ya watu wengine kwa kuwa huna sifa hizo na hufai kwa lolote...
Bora nilivyokuwa mkulima wa mbaazi Huku liwale maana ingekuwa atari.
Hata ukulima wa hizo mbaazi umependelewa sana. Ulipaswa kuwa mzibua vyoo nyumbani kwa Bashite au kwa afande muuaji Mafwele au muliro maisha yako yote...!!
 
Mpira na siasa zenu wapi na wapi, upumbavu huu mnataka kutuletea
Sasa kama serikali imetangaza uwepo wa ugaidi, unawezaje kuruhusu mikusanyiko ya watu zaidi raia wa kigeni. Acha wapeleke kuliko na Amani
 
Hajatoka njee ya kigoma huyoo kilaza hawezi elewa magaidi ninwatu wa namna gani.
 
Sasa wewe ndie ulipaswa kwenda mahakamani uungane na wapenda haki kuyapinga hayo matamko ya hao wanaosema kuna ugaidi.

Rais wako na CCM yake inakamata watu kila siku kwa kuwapa kesi za ugaidi wewe unapinga vipi?, je unaungana na serikali inayokubali ugaidi upo ambapo automatic utakubaliana na mtoa mada, au upingane na serikali kuwa hakuna ugaidi ili ithibitishe which is unarudi pale pale kumsapoti mtoa mada.

Hii inaitwa ukikubali ni umekubali, na ukikataa ni umekubali.

Uchawa mgumu sana.
 
Hivi ni kweli Heche hajui kwamba AFCON ikifanyika TZ wanufaika wakubwa ni vijana wa CHADEMA walioko Arusha ambako ni ngome ya CDM!?
Watanzania wamenufaika vipi na kujengwa kwa bwawa la kufua umeme la JK Nyerere?

Watanzania wameendelea zaidi ya walipokuwa kwa kujengwa SGR? Kufufuliwa kwa ATCL? Kuhamia Dodoma? Kumleta Didier Drogba Tanzania?

Kwa maana hiyo AFCON haitakuwa na kipya, na huenda ikasababisha hasara zaidi.

Mfano.
Ujenzi wa uwanja wa Arusha ulipangwa kugharimu approx. 175bn, baadae tukaambiwa utagharimu approx. 350bn kutokana na maboresho.
Kuna ukweli hapo au tumepigwa?
 
HIVI UNAPOANDIKA UPUUZI WA KUWAAMBIA FIFA NA CAF IWAAPO WAKACHULIA SERIOUS HUONI MTAKUWA MMEWANYIMA WANANCHI FULSA YA KIBIASHARA NA HUKU MKIFURAHIA SERIKALI KUKOSA MAPATO? HALAFU MNAJIVIKA KILEMBA CHA UZALENDO NA KUWATUMIKIA WANANCHI?
Kwako wewe uzalendo ni serikali kukosa MAPATO, ila wananchi kubambikiwa kesi za uhaini na ugaidi kwako Hilo ni sawa tu. Anyway kama ulikuwa hujui MZALENDO ni mtu anayeipenda nchi yake, sio serikali.
 
Hata wauza mirungi na Sembe TZ wana mifumo ya kujilinda

HECHE ni fala anayeugulia uchungu kwa hila

Hali aliyonayo kama angeweza kuitumia kwa hekima ingemfaa

Kutumia damu madhabahuni kwa chanting za machafuko ni upumbavu

HECHE ni kama mtu anayelia wote tukose na kama mbwai iwe mbwai = UPUMBAVU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…