Hezbollah yajeruhi zaidi ya wanajeshi 40 kwenye mesi nchini Israel wakati wanakula

Uzi na post zilizoanzishwa muda huo huo ziko wapi?
Angalia vizuri, post #1 saa 9:28am na post #2 saa 9:29am.

Siyo realistic.

Itakuwa aliandaa zote kwanza halafu aka post kutumia I'd 2 kwa pamoja!
 
Angalia vizuri, post #1 saa 9:28am na post #2 saa 9:29am.

Siyo realistic.

Itakuwa aliandaa zote kwanza halafu aka post kutumia I'd 2 kwa pamoja!

Kwani mtu hawezi kuwa alikuwa kwenye process ya kuandika uzi akaona mwingine wa kufanana akaamua wake kuufanya comment?

Kwani wenye Taabu na hilo wangependa muda gani tofauti?
 
Kwani uzalendo w kitanzania hii habari ajaiyona mbona ajafungua uzi kamanda mkuu w Israel au yeye kamanda mkuu w hezbollah tu waisrael nao awafi tusaidiane kumkumbusha atende haki kwa pande zote. Hi vita tunasoma wengi habari zake. Awe fear au nasema uhongo ndugu zangu.
 

Hakuna one sided war. The casualties can come from any side at any moment in time. Inategemea nani amekaa vizuri na kwa wakati gani.
Kuwa na nguvu nyingi za kijeshi haina maana hutapata majeruhi wa kivita. Marekani alikimbia Vietnam pamoja na masilaha yake makubwa makubwa
 
Kwani mtu hawezi kuwa alikuwa kwenye process ya kuandika uzi akaona mwingine wa kufanana akaamua wake kuufanya comment?

Kwani wenye Taabu na hilo wangependa muda gani tofauti?
Kwamba unaendelea kuandika uzi huku unasoma muda huo huo na ku post pia?!!!

Ukute hizo I'd ni zako broo
 
2010 Taliban iliua 14 SEAL TEAM at once,katika shambulio moja,inachukua $2 kutrain one SEAL SOLDIER,hapo unazungumzia Billion dollars of American Tax payers
Mnajifanyaga kujuaaaa! Hapo sasa umeandika nini? Dollar 2 kutrain soldier ndiyo ilete mabilioni?
 
Mbona na wewe umeandika kidini sana?

Sikia ewe kobaz, ile vita pale ni ya kidini full stop

Kama unasema hao Hezbolla wanaopigana hapo wana ndugu kule kwanini huwa wanaongea lugha ya kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia?

Hivi unajua kama Hezbollah, hamas, Iran na vikundi vingine vikipata nafasi vinaua raia wote wa israel? Unajua hilo?

Kwa taarifa yako tu kwamba hayo magaidi ikiwemo Iran wana chuki sana na wayahudi haijalishi kwamba ni muislamu au la, maadamu ni Myahudi anachukiwa tu.
 
Umeshachagua upande na hilo sio tatizo tatizo ni kuona waliochagua upande mwingine hawako sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…